Recent content by BEST ONE BOY

  1. BEST ONE BOY

    Lazima upitie hatua hii ili ukue kiakili

    Nimepiga chini fasta nimemwambia aache Mazoea Ya ajabu na mm Aangalie usawa wake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Hahaaa...mbaya zaidi upigike Sent using Jamii Forums mobile app
  3. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Hahaa....mkuu unasema hapa tuu hata kama humpendi ila kwa mbali akisepa hela utakuwa unakumbuka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Haya bwana kila la kheri but siku akisepa najua hutoamini usoni kwako tena mbaya zaidi ghafla tuu akate mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app
  5. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Trust me one day utakuja kulia labda kama umemuwekea Limbwata otherwise aisee utalia mimi five years nilikua naye lakini saivi nipo cool na vitu vingine kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Ni kupe mfano mzuri mimi napo previous kuna Demu nilikua nampenda sana aisee mpaka basi ila kiasi cha pesa wewe kikubwa unapewa saivi huyo Demu simpendi hata kusikia yani Nilimpatia hadi hela ya leba nepi na mazaga mengine na Daa niishie hapa lakini upendo ulifikia kikomo baadae Sent using...
  7. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Na bado hapo ipo siku hata mawasiliano utakumbuka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Hiyoo ndio laana sasa mana laana sio uokote makopo ila ipo siku jamaa akigeuka utalia na kusaga meno mana kipindi hicho unaweza pitia magumu sana hapo utamisi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Pepo la laana linakunyemelea mana Wanasemaga there is no free lunch in this world ndio mana huyo aliyekuzalisha ha play part kama huyo jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Hahaa....hongera sanaa ila vp akiomba papuchi utampa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. BEST ONE BOY

    TUJUANE HAPA

    Nyakati zingine mipango matumizi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Ndio nini hiyo mkuu hebu funguka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. BEST ONE BOY

    Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    Alibadilika au ilikuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  14. BEST ONE BOY

    Ni changamoto/misukosuko gani ulishawahi pitia kisa mapenzi?

    Hatma yake ilikuaje lakini Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom