TUJUANE HAPA

TUJUANE HAPA

Mipango sio matumizi mkuu. Kuishi kwa malengo ni kitu kizuri na kujiwekea ndoto unazotaka kuzitimiza wewe na mwenza wako sio kosa kabisa ni sawa bin sawia.

Tatizo ni kuwa binadamu tunabadilika kadiri muda unavyoenda, tunakutana na watu/mambo mapya ambayo yatatufanya tu deviate from our original plans, ikifikia hatua hii basi ujue yote uliyopanga na kufanya hapo nyuma yalikua in vain.

Move on.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ipo siku atakutafuta mana sio kwa upendo huo hadi watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli mapenzi hayana formula me nashangaa MTU anaenda kwa mwanaume anamkuta tayari ana watoto eti anawachukia wale watoto jaman sasa kosa la mtoto ni lipi kwa mfano.....me naamini ukimpenda mtu automatically unapenda kila kitu chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulidumu kwenye mahusiano ya kuoana zaidi ya miaka 15...tangia shuleni

asalalee walahi..alivyokuja kuni ditch,sikutegemea.!!

mumewe ndiye wakuniambia '..huyu P ni mke wangu wa ndoa..'
tena baada ya miaka 2 kupita,huku nikiendelea kuwasiliana naye...nikijua ni wangu wa kuzikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hyo kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango sio matumizi mkuu. Kuishi kwa malengo ni kitu kizuri na kujiwekea ndoto unazotaka kuzitimiza wewe na mwenza wako sio kosa kabisa ni sawa bin sawia.

Tatizo ni kuwa binadamu tunabadilika kadiri muda unavyoenda, tunakutana na watu/mambo mapya ambayo yatatufanya tu deviate from our original plans, ikifikia hatua hii basi ujue yote uliyopanga na kufanya hapo nyuma yalikua in vain.

Move on.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyakati zingine mipango matumizi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom