Recent content by Besar

  1. B

    Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    sio mzoefu sana ila kwa maoni yangu, biashara imebana kipato, matumizi ni mengi na nauli imewekewa kikomo. Pia, kuna wamiliki ambao wana njaa kiasi kwamba ndo biashara yao ya kula kila siku. Labda pia wanapandisha gharama zao za maisha hivyo gari likija kuhitaji service kubwa, anakuwa hela...
  2. B

    Natafuta mfumo wa kutumia kwenye kampuni

    Odoo, zoho one, Microsoft dynamics, salesforce.
  3. B

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Hongera mkuu kwa wazo zuri na utayari wa kuwezesha vijana wasonge mbele. Kwenye haya mambo hasa ya tech ideas, binafsi sio mgeni na nimepata vihela hapa na pale vya ruzuku. Cha msingi hasa kwako kama mwekezaji ni usiweke hela yote kwenye idea au kampuni moja. Kwa takwimu za hapa ndani na...
  4. B

    ebook>>Kitabu cha MTAJI(Njia 12 za kupata mtaji)

    Ndiyo boss. Moja ya njia ni kuuza maarifa
  5. B

    ebook>>Kitabu cha MTAJI(Njia 12 za kupata mtaji)

    Je, unahangaika kujua njia za kupata mtaji? Kitabu cha MTAJI ndiyo jibu lako. Pata nakala ebook(pdf) kwa sh.10,000 tu. Wasiliana na 》》+255674502925 Hii OFA ni ya muda mfupi.
  6. B

    Ufundi, fundi na garage

    Nakubaliana nawewe kabisa, kama fundi ama mtaalam halafu mteja anajifanya fundi ama mjuaji, huwa haileti picha nzuri sana. Wapo wateja hawana idea hata kidogo na huwa ni usumbufu tu. Upande wa pili wapo mafundi hawajiamini ama wababaishaji, yaani hataki kusikia historia ama matengenezo ya awali...
  7. B

    Ufundi, fundi na garage

    g asante mkuu kwa somo safi sana.
  8. B

    Ufundi, fundi na garage

    yaani inakuwa kama vile kuna nyundo inagonga maramoja tu ukikanyaga breki. Yaani mwanzo wa kupunguza mwendo wa gari, ndo umeamua sasa inabidi nipunguze mwendo, haswa kwenye foleni ambapo gari halina kasi, utasikia 'ku!' upande wa mbele. Huu mlio unakuwa kama vile stabilizer bush inayochoka huwa...
  9. B

    Ufundi, fundi na garage

    Tatizo la breki kugota 'ku!' lilisababishwa na break pad moja (mpya) ya ndani kutokaa sawasawa kwenye bracket yake na caliper. Ilikuwa inalika upande wa chini so contact haikuwa nzuri. Ni tatizo gumu kutambua nimeliona mitandaoni na wateja wengi waliishia kubadilisha baadhi ya vitu. Kwangu mimi...
  10. B

    Ufundi, fundi na garage

    Hapo kweli mkuu, shukran, kama nikijaliwa tutatafuta uvumbuzi kwa tatizo la utaratibu wa service coz naamini ukosefu wa utaratibu maalum kunachangia gharama za matengenezo na ubovu wa gari. ,
  11. B

    Ufundi, fundi na garage

    Habari za humu ndani waungwana. Huwa nafurahi sana na mada za humu ndani. Leo nina mada kuhusu mafundi na garage tunazopeleka magari yetu kwa matengenezo. Nimemiliki gari moja(rav4) kwa miaka 4 mpaka sasa. Katika safari zangu garage huwa kuna kitu kinakera mara kwa mara nimeona niombe msaada...
  12. B

    Nahitaji somea masuara ya software online msaada

    Nakuunga mkono kaka. Inaonekana ni mgeni kwenye maswala ya online na forums. Mwenyewe ni software developer na nina kampuni ya kazi hiyo, na nimefaidi. Nimejifunza miaka mingi (4-5) na kwa haraka, huyu mwenzetu mwenye miaka furan ni mkorofi kidogo. Unataka kuwa programmer ama software...
  13. B

    A huge disaster is just around the corner

    its a worrying reality indeed. Miaka 3-5 ijayo haya mambo yatatuhusu sisi hapa moja kwa moja. Ivi, mwanao je anasomea hicho hicho ambacho hata kabla hajaingia sekondari kinafanywa na robot nchi jirani? :confused:
Back
Top Bottom