Nahitaji somea masuara ya software online msaada

kelvin miho

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
281
134
Jaman mim ni kijana mwenye umri furan nimesoma mpaka kidato cha nne nahitaji jikwamua kwa kusomea masuara ya software sabu ya kujkwamua ma mengi na kiuharisia napenda sana masuara ya mitandaon kwa yyeyote ajuae au aliewah kusomea huu mfumo na akafanikiwa anisaidie nataka somea online nb_kama wajua na costing zake waweza nisaidia nawasirisha.

Kelvin miho
If member
0755161970
 
Jifunze kuandika kwanza then uje uombe msaada, hizo ra-ra kwenye uandishi wako ulifundishwa na nani?

Sasa kama hujui kuandika, code utaandikaje?

Furani......Fulani, program haita-run ng'o!...
 
Ukikuta thread haikupendezi unapoa kama maji ya mtungini usijitie mjuaji kumbe nikawa mjuaji zaidi yako toa ujinga wako ungenijibu nilchoomba na kufuata na kauli Zako ningekuona wa busara tatzo tecno wameleta simu nyingi mpaka machizi like u mnazo tuliza makende yako kwanza
 
Jaman mim ni kijana mwenye umri furan nimesoma mpaka kidato cha nne nahitaji jikwamua kwa kusomea masuara ya software sabu ya kujkwamua ma mengi na kiuharisia napenda sana masuara ya mitandaon kwa yyeyote ajuae au aliewah kusomea huu mfumo na akafanikiwa anisaidie nataka somea online nb_kama wajua na costing zake waweza nisaidia nawasirisha.

Kelvin miho
If member
0755161970
Mkuu kwanza hongera kwa kuwa na maoni kama haya!

Pili, kabla hujaanza kusoma nakushauri upitie hizi videos nauhakika zitakusaidia sana!

Kama unataka kuwa website developer pitia hii

Pitia na hii kwa muongoza wa software development/computer programming!

Naimani zitakusaidia!

Karibu!
 
Nashukur mkuuuu na ubarikiwe mno na je kama ni mtaaram wa haya mambo waweza ntumia no yako nkutafute
 
sasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
We kauka tuuuuu mbna walonijibu vizur nimewashukur usijekuta hata wewe wahtaji jifunza afu wajitia mjuaji we kauka ka ndafu boy utapakatwa
 
sasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
Nakuunga mkono kaka. Inaonekana ni mgeni kwenye maswala ya online na forums.
Mwenyewe ni software developer na nina kampuni ya kazi hiyo, na nimefaidi.
Nimejifunza miaka mingi (4-5) na kwa haraka, huyu mwenzetu mwenye miaka furan ni mkorofi kidogo.

Unataka kuwa programmer ama software developer?
Zingatia haya:
1. Uwe mwepesi kukosea lakini mwepesi zaidi kujifunza kutokana na makosa yako.
2. Uwe mpole. Sijui unafanya ishu gani lakini ili ufundishike, lazima utulie, usikilize na ujifunze
3. Kuwa makini kwenye lugha. Hii fani kama walivyosema wengine ni pana. Hata hivyo, inatumia lugha, (programming languages). Maanake, lugha usipoimudu, hakuna software ng'o! Hizo nukta, space, spelling na mengine ndo msingi wa software yoyote.
4. Sio kila aliyepost unamjibu. Wengine ni utani, wengine bas tu. So uwe mpole
5. Software na upana wake ni fani nzuri sana na inalipa ukiwa hodari kwenye kazi yako.

[HASHTAG]#makinika[/HASHTAG]
 
Well said
 
Back
Top Bottom