Recent content by Berther patty

  1. B

    JamiiForums Tanzania HESLB MNATUPA WAKATI MGUMU

    jamani bodi ya mkopo mtawapa presha wazazi mitaani huku..yoyote alie na mwongozo kuhusu loan allocation status tunatakiwa kuripoti j3 jamani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu vitambulisho vya mdhamini vinavyohitajika HESLB

    Mama yangu ana cha kura tu na kina majina tofaut je anaweza kutmia temporary passport (visa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Jaman vitambulisho gani Vinakubalika vya mdhamini kuombea mkopo heslb Msaada tafadhali
  4. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Haiji ayo maneno ata yani nachanganyikiwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Jamani apa msaada naweka verification ipi
  6. B

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mda gan n ushaweka chuo husika imekubali? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    Pia sijatumiwa mpaka sasa hivi sielew ttz nini haswaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Ndo wamekwmbia usubiri mpaka tarehe 6 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Vyuo vingine ni sua na mwl nyrr.. Nkiingia wameonesha tu ni confirm buh cjui mechaguliwa faculty ip Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Kama ambavyo wewe umetumiwa ulivyoainisha apo juu na wakati asubuhi tu jana walituma msg ya kuchaguliwa mzumbe na kwmba niingie kwenye akaunti yangu nicomfirm sasa jion ndo naingia wananiletea mmb z ajab Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Pls wakikupa feedback yyte nijulishe ilo limenikuta pia ila tu niivyo nliaply vyuo vitatu but mzumbe ilkua ni opt ya 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waliotuma chuo kimoja katika udahili wa vyuo mbona wananyanyaswa kwa majibu yao?

    Umepiga chuoni au nani kakwmbia hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna mtu aliyetumiwa code za kuthibitisha chuo?

    Hahahhaha Tanzania yetu kwakwelii Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwongozo kuhusu special code TCU

    Njoo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom