hahahaaaaaaaaaaaa................duuuu, yakwako ndo ilikuwa kali, mi mwenzenu akuuuuuuuuuu, najijua siwezi kumuacha sasa pressure zanini?????
sishiki cm, wala nini akiamua ku cheat a cheat salama, huwezi kuwa nae muda woteee, so take care usirudie maana utapata ugonjwa wa moyo...