Inauma sana nilikutana nayo na mm hii kitu tumepiga interview hadi practical ya kufundisha ilikuwa Tutorial Assistant UDOM tulibaki 12 na wanaohitajika ni 4
Na walikuwa na ukaguzi mkali sana kila hatua unakaguliwa tena kumbe kuna watu wawili hawakuwa ata na practicing lisence wanawaita wamwisho...
Mm nilienda interview ya taasisi ya kanisa nilivyoingia sikuona kiti cha kukaa maana kilikuwa nyuma ya mlango sasa kulikuwa na kiti karibu na askofu nikawasalimia nikapitiliza kukaa pale panel nzima walicheka kishenzi mmoja ndo akaniambia kiti chako kile kule
Nilipagawa mpaka kiingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.