Recent content by bern chuwa

  1. B

    Natafuta kazi ya motor vehcle mechanic (fundi magari)

    Acha izo fund anaga izo uyo anaye fanya ivo siyo fund
  2. B

    Natafuta kazi ya motor vehcle mechanic (fundi magari)

    Habarini wakuu, Nina elimu ya VETA miaka mitatu grade one na form 4 na nina experience ya miaka mitatu. Natanguliza shukrani.
  3. B

    Je kuna madhara yoyote yatokanayo na kunyonyana mate(denda)

    Habarini wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote ya kunyonyana mate (denda) kama zipo ni zipii? Nawasilisha.
  4. B

    Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Mm huwa nkiumwa kichwa nikiwa nafanya kaz ngumu nkianza kuchoka tu
  5. B

    Nauza kompyuta desktop dell Tsh 85,000

    Ase vp mm naitaji IYO
Back
Top Bottom