Natafuta kazi ya motor vehcle mechanic (fundi magari)


B

bern chuwa

Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
6
Likes
0
Points
3
Age
21
B

bern chuwa

Member
Joined Jun 30, 2016
6 0 3
Habarini wakuu,

Nina elimu ya VETA miaka mitatu grade one na form 4 na nina experience ya miaka mitatu.

Natanguliza shukrani.
 
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
6,136
Likes
4,529
Points
280
Askari Muoga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
6,136 4,529 280
Ngoja polisi au nenda jkt fundi akifa njaa n uzembe mkubwa
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
9,794
Likes
4,648
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
9,794 4,648 280
Nina elim ya veta miaka mi tatu grad one na form 4 na nina expiriens ya miaka mi 3
Dah kwa uandishi huu naona bolt na nuts zitabaki nyingi tu ukifungua injini
 
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Messages
223
Likes
242
Points
60
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2016
223 242 60
Dah... Kama una acha acha herufi kwanini usiacha bolts na nuts ??? :)
Huyo sio kwamba ana acha herufi bali ana utapiamlo wa misamiati yote ya kiingereza na kiswahili. Form four kweli?
 

Forum statistics

Threads 1,237,444
Members 475,533
Posts 29,288,485