nakerwa na watu wanaojibu kwa kashfa mawazo ya watu... kila siku najisemea kama hii ndiyo attitude ya ukawa. basi mnisamehe gari lenu sipandi.. nabaki chamaless. yaani kuna watu wanadhani wanajua wengine hata muulize Picha ya kwanza kwenye ilani ya ukawa INA nini hajui... halafu anajiita...
mbishane wee eee halafu mtashangaa kama Picha zenu wanavijiji wanaotumia simu ya tochi ili kusave charge wanawasoma... Mimi nasubiri tar 25 ila asilalamike MTU.... maana nimeanza kusikia watu wanalalama huko wakati walimpata chizii... hehehe... jamani dalili mojawapo ya kuchanganyikiwa ni...
Kuna mtu amemtaja magufuli yuko jela? Naomba hoja ya point Hiyo... Hata akiwa CCM aliitwa fisadi na slaa huyu huyu je alienda jela? Pili kama CCM wamekwepa mtu mchafu mkakosa hoja ya msingi ya ushahidi, tuwapongeze. Wameona penye kosa wameziba pengo... Hiyo ni karata ya siasa... Mimi sioni...
Nadhani vitu vingine muwe mnafikiria. Toka lini kukashifiwa na vyombo vya Habari ikawa sababu ya mtu kuwa fisadi. Kwa Hiyo Kwa sababu mnamsifia lowasa basi tukubali tuu? Hata kama ni ya kishabiki? Naomba ushahidi WA maandishi WA ufisadi huu
Kwa Hiyo aliyokuwa anayasoma mbona hayajapingwa popote Zaid ya kumshutumu? Mtu akiongea toa ushahidi kupinga Hilo ili akae kimya simple as that. Siyo Nina ushahidi... Si utuonyeshe? Du kweli wabongo vijana ni mashabiki wasiopenda kufuatilia mambo
Tuache kuibua vitu tusivyo na uhakika nazo... Toa makala na ushahidi WA maneno yenu. Sina Chama na sitapiga kura Kwa ushabiki WA maneno kama haya yasiyo na ushahidi... Mbona hukujatolewa pingamizi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.