vizuri nami namuomba mJPM apige marufuku magari ya serikali na yale ya mashirika ya umma kuacha kutembea baada ya masaa ya kazi isipokuwa kwa kibali maalum hasa yananikira sana yanapotembea siku za weekend
kuchaguliwa JPM ni faraja kubwa kwa watanzania hisusan tulio watumishi wadogo .naomba JPM aangalie uwiano uliopo kati ya mishahara ya watumishi wa umma na wabinge na mawaziri. sisi wadogo ndo tunahudumia wanainchi wa kawaida walio wengi waziri ama mbunge ana kazi gani zaidi ya nurse anayezalisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.