Huwezi kumvua nguo mwanamke ukamkagua idara zote then ukasepa tu like that,sio kweli huyo ulimla na mavumbi yake sema tu labda hukurudi raundi ya pili,[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi imenitokea hiyo ila alinidanganya kwa kunificha umri wake,,tukafunga ndoa ya kanisani,sasa nimekuta ana umri mkubwa sawa na kakangu ambaye Mimi ni wa pili kumfuata,,naumia sana sina raha tena na hii ndoa,,MAUMIVU YA MOYO HAYAPOI KWA GANZI""
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.