Recent content by benyamini

  1. benyamini

    Idara ya Usalama wa Taifa haiko chini ya Mwigulu, hawezi kuitolea kauli!

    Aliyemtishia bastola Nape jina liliwekwa mtandaoni tukamfahamu ni askar wa ffu ukonga alikuwa depo 2005 lile la uchaguz wa jakaya kikwete labda kama kuna utaratibu wa kubadilisha hawa watu ila huyo ni askari wa ffu ukonga mkaz wa morogoro almaarufu kisanduku alikua bondia..na kama mtakumbukumba...
  2. benyamini

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Very unfair huyu jamaa kalelewa na chama since wayb ack alijitoa kwenye uchaguz na kinana alidhihak na kutimiza kaz yake ya uenezi leo hii anamwagwa kisa Bashite ukistaajabu ya Jecha utayaona ya Pombe..this is Tz....
  3. benyamini

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Bwana jerry ni wewe umeandika hayo? Nikishajiridhisha nitakupa ya kwako.
  4. benyamini

    Ya Kitwanga yanafanana na ya Makonda

    Uko sawa kabisa wanataka kutuletea mambo ya movie hapo wapotezee swala la vyeti feki eti tunataka hatua zaid ile iliyofanyika ni jinai na wale askar nao tena na bunduki waliwe tu ili iwe fundisho..kamuvi ka bashite ngja tuone
  5. benyamini

    Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Msituletee drama hapa hao clouds nao ni wanafki tu wanamtengenezea platform ya kujitetea wao ni nani hasa ?achen unafki mawingu achen siasa fanyen yenu ya kaisar mwachien kaisari
  6. benyamini

    Zitto: Millicom Tanzania NV Netherlands which owns Tigo Tanzania Wachunguzwe haraka Sana

    Kwahyo hizo hisa ziliuzwa kweli kwa Manji au majitaka? Mana kukingana na hilo tangazo la tigo ni kwamba manji hana umiliki wa hisa huko tigo au imekaaje ebu nisaidie ufafanuz mhe.ZZK
  7. benyamini

    Tundu Lissu anawatumia Wananchi kama daraja tu!

    Hiv unapoandika hauon ukakasi wanachofanya watawala we unaona ni sawa tu?jaribu kushirikisha akili yako kwanza kama namb1 anadiriki kukiuka sheria na taratibu eti we unafurahia unajua kaz ya mahakama lakin au unaongea tu? Mikutano mmepiga marufuku sjui kwa sheria ipi ukiambiwa madikteta...
  8. benyamini

    Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation

    Unachojaribu kusema ni sawa kabisa lakin kama ni kweli tambua hyo ni fogery ambayo ni criminal offence,watu wa hivo wako wengi sana wana uwezo mkubwa lakn tatzo alighushi kama itakua kweli ni bora angejulikan ni form4 with zero division that is just an academic accident kama ni kweli utendaj...
  9. benyamini

    Mwenendo wa Dr.Mwakyembe, ni kweli tatizo lao lilikuwa ni Uwaziri Mkuu?

    Kiukweli hata mimi sikumuelewa kule kulalamika kitoto namna ile mana yake nini leo kapewa dhamana ya uwaziri wa na yeye ni wazir wa sheria kama ali9na kuna uonevu kwahyo informer na mda wa rufaa umepita si kuna pardon of the president?
  10. benyamini

    Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    Sorry SOURCE yako tafadhali? Mtandaoni,press confrerence,mkutanoni au kijiweni? Umeipata wap hyo habari mleta uzi?
  11. benyamini

    Kama katiba ingebadilishwa watu kama Joseph Msukuma wasingepata Ubunge

    Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo haumfikii hata mtoto aliyezaliwa leo toa pumba zako hiv watu kama hawa kwanini wasipigwe tu chini na hzo thread zao tusizione wanatia kichefuchefu au ndio umetumwa mana tukisema tufanyie kaz maupuuz ya hivo hata nanii nae tunaambiwa si msukuma mana kule hakuna...
  12. benyamini

    Wassira azidi kumng'ang'ania Bulaya Ubunge wa Bunda, Wafuasi wake wakata rufaa

    Kwani mzee "Tyson" kulikoni alikua hajajiandaa vizuri kukipiga mtaan au kuna nini nyuma ya Pazia mana si kwa kukomaa namna hyo au kuna maelekezo nini? Faza tulia lea wajukuu ikiwezekana fungua kanisa uwe mchungaji bas maji yashakuacha hayo....
  13. benyamini

    Makonda, tulikuambia ngoma ya watoto haikeshi hukusikia

    Nani kakupa taarifa kuwa kesho manji anaenda mahakanani na je tuambie anaenda kwa kosa lipi?
  14. benyamini

    Kamanda Sirro: Tumefungua jalada kuwasaka mashoga vinara

    Ili kuthibitisha ubakaji lazma kuwepo na muingio wa uueme kwenye uke "penetration" labda tufahamishane kwenye kuprove huyu ni shoga ni element ipi inatakiwa iwepo? Je ukimfikisha mahakamani na akakataa mahakama ikakutaka uthibitishe pasi na shaka kuwa yeye ni shoga afande wangu kamishna...
Back
Top Bottom