Ni wakati sasa serikali ikafikiria kisasa zaidi...hii hospital ya muhimbili ingeachwa waende Kigamboni hapo wajenge hospital inatayo kua ina hadhi ya kidunia...watu watoke mataifa mengine waje Dar kutibiwa kama ilivyo india na Dubai. Hapo paache kama makumbusho
Wazima wandugu, hili tatizo ni mimi tu au kuna mwingine linamtokea. Nikienda kwa vibanda vya mpesa mara nyingi wanataka Waone SMS iliyorudi kwangu ndio wanipatie pesa.
Nikienda office za watu utaona mdada anahamisha pochi yake na simu, Bank teller anachukua muda mwingi kunihudumia.. saa...
Ndugu, kanisa halijasema chochote wala halijaingilia kazi ya Polis. Kwa nini unatudhihaki hivyo? Kwa nini usipambane na mleta mada? Huwezi kujua ni jinsi unaumiza watu. Please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.