Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.
Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?
Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana...
Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake.
Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa CCM ni wagombea wanaotetea nafasi zao hivyo wengi wanajimudu kikampeni so kwa kiasi kikubwa gharama...
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise...
Duh Mabasi ni mengi sana zaidi ya 10. Bado magari ya msafara, viongozi wa serikali sehemu husika na watumishi wa umma jumla watu wakushangaa magari na mabasi kila mkutano nyomi inaweza kusafirishwa mkutano mmoja kwenda mkutano mwingine.
Kiufupi hakutakuwa na ukosefu wa nyomi kwenye mikutano...
Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard
Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?
Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee...
Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha.
Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika.
Aidha Mwalimu alisisitiza...
Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.