Recent content by Benson Mmari

  1. Benson Mmari

    JamiiForums Tanzania KWANINI ADSENSE WANAKUBALI MAOMBI LAKINI MATANGAZO HAWALETI?

    Jamani mimi ni blogger, na nimejisajili adsense. Cha ajabu wameshanikubalia lakini tatizo sipati matangazo, na ninatumia template nzuri, yaani v2. Hapo mwanzo niliwahi kuwa na adsense account lakini nikabonyeza tangazo bahati mbaya, ikafungiwa. Pliz nishaurini nifanye nini ili nipate matangazo...
  2. Benson Mmari

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Bonyeza nyota litakuwa lako.
  3. Benson Mmari

    JamiiForums Tanzania Nimejiajiri kama Blogger, hata nawe unaweza jaribu

    Kaka mimi pia najitahidi kufanikiwa kupitia blogging. Kwa kweli umenitia moyo sana maana nadhani stori yako anafanana na yangu, japo nataka hii iwe ndo kazi yangu na hata hapo baadaye niweze kufungua ofisi itakayosajiliwa kabisa na serikali. Blog yangu ni Prince Bewisa Swahili™ karibu...
Back
Top Bottom