Nawasiwasi na akili yako we unayejiita Aminango. Acha utoto soma na uelewe UKAWA maanake nii?
ati Porini kiukweli ww kama uko mgn bac utakuwa kibaka anayeishi kwa mlo 1 kwa cku.
Baraza la vijana wa chadema mkoa wa manyara (BAVICHA) wamekusudia kukutana mwezi ujao makao makuu ya mkoa huo Babati kujadili mambo muhimu yahusuyo vijana ikiwemo ushiriki wa vijana ktk kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. Baraza hilo limeandaa mkakati wa kuwashindisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.