Bavicha manyara wanena sasa

BENNY MAO

Member
Oct 26, 2011
7
0
Baraza la vijana wa chadema mkoa wa manyara (BAVICHA) wamekusudia kukutana mwezi ujao makao makuu ya mkoa huo Babati kujadili mambo muhimu yahusuyo vijana ikiwemo ushiriki wa vijana ktk kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. Baraza hilo limeandaa mkakati wa kuwashindisha vijana ili wakamate nafas muhimu za uongo wa chama ili waongoze chama chao kwa speed waitakayo tofauti na hivi sasa. Wadau watokao mkoa huo wanakaribishwa.
source: Benny Mao M/KITI WA BAVICHA MKOA WA MANYARA
 
AIR MISSILE 2015

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
522
500
"MKAKATI WA KUWASHINDISHA VIJANA ILI WAONGOZE CHAMA CHAO KWA SPEED WAITAKAYO TOFAUTI NA SASA!!!!!!!!!!!"

Hii mistari nina mashaka nayo!! Yaleyaleeee!!!! Kila la kheri Mkuu.
 
Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,720
1,500
Baraza la vijana wa chadema mkoa wa manyara (BAVICHA) wamekusudia kukutana mwezi ujao makao makuu ya mkoa huo Babati kujadili mambo muhimu yahusuyo vijana ikiwemo ushiriki wa vijana ktk kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. Baraza hilo limeandaa mkakati wa kuwashindisha vijana ili wakamate nafas muhimu za uongo wa chama ili waongoze chama chao kwa speed waitakayo tofauti na hivi sasa. Wadau watokao mkoa huo wanakaribishwa.
source: Benny Mao M/KITI WA BAVICHA MKOA WA MANYARA

"...ili wakamate nafas muhimu za uongo...? Hapa ni hatari sana.
 
aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Waambie hakuna Chadema siku hizi kuna ukawa maaana inaonyesha ww bado upo porini bado
 
BENNY MAO

Member
Oct 26, 2011
7
0
Nawasiwasi na akili yako we unayejiita Aminango. Acha utoto soma na uelewe UKAWA maanake nii?
ati Porini kiukweli ww kama uko mgn bac utakuwa kibaka anayeishi kwa mlo 1 kwa cku.
 
amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,026
1,195
Baraza la vijana wa chadema mkoa wa manyara (BAVICHA) wamekusudia kukutana mwezi ujao makao makuu ya mkoa huo Babati kujadili mambo muhimu yahusuyo vijana ikiwemo ushiriki wa vijana ktk kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. Baraza hilo limeandaa mkakati wa kuwashindisha vijana ili wakamate nafas muhimu za uongozi wa chama ili waongoze chama chao kwa speed waitakayo tofauti na hivi sasa. Wadau watokao mkoa huo wanakaribishwa.
source: Benny Mao M/KITI WA BAVICHA MKOA WA MANYARA

good vijana. Wakumbusheni vijana kuwa self reliant
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom