Una prototype ya huu mfumo? Natamani sana nione kwa upande wa mteja/patient anavyolipia malipo ya huduma kwenye app, maana kwenye swala la malipo ni kizungumkuti sana kwa tz. Labda uniambie ni kampuni ip kwa sasa unafanya nayo kwenye upande wa payment gateway.
Kiingine jaribu kuwa na video demo...
Habari mwandishi wa vitabu!
Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau...
Habari wasomi. Nimeona wasomi wengi wanatafuta vitabu vya science especially PCM.
Nimejitahidi kutafuta vitabu kama vyote vya PCM vipo softcopy kama PURE 1 & 2 MATHEMATICS, TRANTER, NELKON, ROGER NA VITABU VYA MITIHANI YA PCM vile kama S CHAND.
Kama mwalimu na viabu vya maswal na majibu na...
Hello JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Natafuta mtu wa anaweza kufanya online marketing, awe anafanya UDALALI WA FURNITURE AMBAZO NITAKUWA NATENGENEZA. MFANO WA FURNITURE NI KAMA ZIFUATAZO
KABATI LA WAZI NI 100K, STAND YA VIATU 50K, MEZA 50K.
VITU VYOTE VIPO YOMBO -...
Natumahi uko mzima wa afya.
Leo mitaongea kwa ufupi kuhusu TEKNOLOJIA...
Swali hili nimekuwa nikijiuliza sana kutokana na kusoma sana vitabu vya biashara na uchumi pamoja na teknolojia, nimefanya utafiti wa kina sana kwa nchi za africa especial EAST AFRICA & WEST AFRICA nimekuja kuona...
Habari wana elimu, kama title inavyojieleza hapo juu. Nauza softcopy ya vitabu vya maswali na majibu kwa combination ya PCM.
Kuna vitabu vya topics kama
1. Organic Chemistry Questions & Answers
2. Inorganic Chemistry Questions and Answers
3. Mechanics Questions and Answers
4. Mathematics...
Ukiwa kama mwandishi mchanga unajifunza nini kupitia Eric Shigongo? Waandishi wengi wanatamani kutoa vitabu lakini hawajiuliza kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani, kuna siri gani?
Unaweza toa maoni yako kuhusu soka la vitabu vya hadithi kwa sasa na kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.