Recent content by Benn Chinendachi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nasikia dada umetelekeza korosho tani 50 kulinda ukuu wa wilaya

    Ni Habari ya Uongo inayolenga kuharibu heshima ya Kiongozi kama una ukweli kwa maana ya ushahidi Weka Tuone hapa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

  3. B

    JamiiForums Tanzania Wahenga mnisaidie, Mwaka 1974 hali ya Uchumi katika nchi yetu ilikuwaje?

    Kulitokea Njaa Kali sana kikaanzishwa Kilimo cha kufa na Kupona maduka na maofisi yalifungwa Nyakati za Asbuhi ili watu waende kulima kwanza baadae ndo wafungue Maduka nilikuwa Kusini wakati huo *wahindi* walilazimika kulima mashamba
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

    Yes anazosifa Nzuri za Uongozi hasa Uthubutu pia ana huruma nimeona kwa macho yangu akiwasaidua wenye shida pia anafikika in fact she is a True leader Over all RC's in recent years she has done a lot mm nafanya naye kazi I know what I mean Keep it up
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Hali itatulia Chapa kazi lakini Kumbuka Saving is equal to investment yaani Nana hela yako kwa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kufanya hivyo utakuwa km umewekeza then baadae tumia hiyo saving kwa kuwekeza km kununua hisa nk Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Ni Sawa kwa maoni ya mleta Uzi problem ni kwamba ur Too Emotional ! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Are you Sure ? I Think ur to Emotional please gather the Evidence first then comment otherwise you might be talking Rumours be Careful plse Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Hongera sana Uhuru Kenyatta ni we we ndiyo kiini cha haya Mabadiliko yaliyotokea kwa kuheshimu Uhuru Wa mahakama Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, Serikali yachukua gawio la Tsh. Bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB

    Goooooood Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Rais pekee Afrika anayeweza kutembea na kuhutubia kwa muda mrefu

    Hongera *JPM* in kweli anastahili pongezi kwa hili Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Somo tosha kuwa Tanzania tuna msitu wa viongozi ni suala la Muda tu...

    In Kweli Mh Majaliwa in Bonge LA waziri Mkuu namfananisha na Alivyokuwa Salim A Salim wkt alipokuwa anahudumu nafasi hiyo Enzi ya Mwl kwa wenye umri km Wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mikoa masikini zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2017/2018

    Bravo JPM endelea kutuboreshea korosho zetu Lindi/Mtwara tuondoke kwenye Umaskini Thanks we have suffered a lot we deserve to rest Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom