Recent content by benjykulture

  1. benjykulture

    Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

    Mm mwenyewe nayo pande wa kilifi lakini kuna maneno watanzania hutumia hasa wale wa bara hatuelewi. Mwazo wale wa nyimbo za singeli.
  2. benjykulture

    Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

    Hakuna slang ya Kenya utakosa kwa internet
  3. benjykulture

    Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Vipi wewe kwani wadhani kiswahili ni lugha ya Tanzania pekee famasiala nini
  4. benjykulture

    Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

    Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi? Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽‍♂️.
Back
Top Bottom