Dr. Slaa inabidi atulie na kutafakari kwa kina na apime vema athari za maamuzi yake kwake yeye mwenyewe binafsi, kwa chama chake, kwa UKAWA (ambao lengo kubwa ni kutetea katiba ya wananchi), na kwa taifa kwa ujumla wake.
Maana kuna faida na hasara katika kila uamuzi atakaouchukua. Mwanzo kwa...
Sidhani kama kuna sehemu/hospitali walio wakamilifu. Kitu cha msingi ni kutenda kazi kwa kadiri ya uwezo wetu na kuzingatia misingi ya maadili.
Kufanikiwa kwa upasuaji kunategemea mambo mengi ikiwemo ustadi wa daktari, kiwango cha ugonjwa, afya ya mgonjwa kwa ujumla, nk.
Hivyo, wakati...
Poleni sana Wananchi wa Malawi. Sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe/Lihimidiwe! Wandugu tutimize wajibu wetu tukiwa hai kwani tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hivyo tusijisahau na kuwanyanyasa wenzetu. Tupendane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.