Ktk maisha lazma upitie changamoto nyingi na jitahidi kuzitatua kwa kujiamini kwanza mwenyewe juu ya mikajati uliyopanga ktk maisha yako May GOD bless you.
Ask any of your questions about Health programe Technician certificate and Diploma for Clinical medicine & Nursing upon how to apply and minimum requirement for application and other relevant issues. Your welcome for more info and clarification. 0718652147
Binafsi mimi ni clinical officer nafanya kaz Iringa referal hospital pia kuna madaktari wa ngaz ya cheti tuko nao tunafanya kaz as a team! hilo ni jibu kwa aliyeuliza kuhusu kufanya kaz hospital za Rufaa. ahsanten
Kwa mujibu wa taarifa ya Mh. Charles Msonde akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu lini atatangaza matokeo amesema mitihani tayari imesahihishwa wapo wanapanga madaraja:
Chanzo cha habari ni gazeti la mwananchi la tar 8 Feb 2015!
Heshima kwenu wakuu naomba kufahamu ni course ip? nzuri kwenda kusomea degree kwa mtu mwenye Diploma ya nursing anayetaka kuwa special na kitengo fulani?
Mi ni mwanafunzi wa first year Primary Health Care Institute PHCI-Iringa natafuta chumba kilicho karibu na chuo umbali usiozidi 2Km kwenda chuoni na kodi isiyozidi 30,000. mwenye tetesi anitafute kwa 0765005062! Ahsanteni.
Niliapply Technician certificate in clinical medicine nishachaguliwa St.Aggrey college of health allied science Mbeya nashindwa kufanya transfer to Primary health care institute-Iringa because system stop login fail to submit my transfer request nifanyeje jaman?
Mwanzoni niliapply afya kupitia Nacte nimechaguliwa chuo cha private ila nimeshindwa ada zao kubwa 2.4M nikaona bora niapply tena teaching kupitia Nacte nimeshindwa second step wanasema error your email and exam index no. already used jamani nifanyeje? naomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.