Pita kwenye Makala zangu za nyuma nimeyainisha yote hayo.Inshort nmeanza kurun business nikiwa mwaka wa pili, na kwa Sasa Nina own Duka la nguo za ndani, ni mwandishi, na business consultant. Anything else?
SABABU SITA 6 KWANINI BIASHARA NDOGO NYINGI ZINAKUFA NA NINI CHA KUFANYA KUEPUKA SABABU HIZI.
Tafiti za usimamizi wa biashara zinazoonyesha kuwa nusu ya biashara zinazoanzishwa zinakufa labla ya miaka mitano, huku moja ya tatu 1/3 (theluthi) pekee zikifanikiwa kufikisha miaka kumi.
Kwa ufupi ni...
Nililizungumizia Hilo katika makala iliyopita, makala hii nilitaka kutazama namna gani baadhi ya marafiki wanaweza wasiwe na mchango katika biashara yako
NAMNA GANI MARAFIKI WANAWEZA KUATHIRI BIASHARA YAKO. /UNAO WAITA "WATU WAKO" KAMA HAWASUPPORT UNACHOFANYA SIO "WATU WAKO".
NI wazi kuwa watu nchi yetu imejengwa kwa misingi ya ujamaa na kusaidiana. Tukiwa na sifa lukuki za ukarimu na amani. Lakin pia ni wazi kuwa asilimia Kubwa ya ukarimu wetu...
SEKE SEKE LA MAFUTA,KUSHUKA KWA BEI YA MBAAZI NA HEKIMA ZA FRANKLIN D ROOSEVELT.
Mnamo mwaka 1933 mtikisiko wa uchumi ukiwa umepamba Moto huku Vita vya pili vya dunia vikiwa mwanzoni. Mzee mmoja akiwa ndio kwanza amekabidhiwa dhamana ya kuliongoza taifa kubwa duniani huku akiwa kwenye kiti Cha...
Ndio sababu Kuna maelezo yanasema ukitaka kujua kiundani jiunge katika Watsap group. After all Kama utakua unalipia sehemu 5000 kwa siku nadhan una majibu ya jinsi umeme na miondombinu
JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YA CHIPSI KWA TSH LAKI NNE NA THELASINI NA TANO 435,000. TU.
Biashara ya chipsi imezidi kushamiri na kuwa moja Kati ya chakula pendwa Sana hivyo kupelekea kuwa ajira na sehemu ya kipato kwa watu.
Leo nataka kukuonyesha namna unaweza kuanza biashara yako kwa mtaji...
Kuhusu masomo kuwa Yale Yale hiyo ni kweli kwani sisi test zetu nyingi zilikua ni mitihani ya CPA ishu inakuja ni kwamba vyuoni Kuna mianya mingi Sana kias kwamba hata mtu asiestahili anaweza kuwa certified unlike mitihani hi ikisimamiwa na board angalau wanakuwa certified watu wanaostahili
Hiyo ishu ni ya kisheria Zaid lakini nadhan kwa upeo wangu mdgo wa Sheria hayo majina yanakaribia kufanana lakini si sawa. Hivyo upo uwezekano mkubwa kusiwe na shida. Ila ningerecommend umpate mwanasheria anaejihusisha na Mambo ya copyright zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.