Recent content by Benibaya

  1. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukiwa na Diploma huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit tatu (3) za O-Level

    Ok shukran kwa kunielewesha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

    Samahan mkuu unaweza nisaidia kupata link ya magroup yao? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Naomba jibu la swali hili wadau

    45 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukiwa na Diploma huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit tatu (3) za O-Level

    Me naomba kuuliza iv credit ni nini?maana cielew naona mnasema tu mara3.Msaada kuuliza c ujinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu ya juu

    Hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo kutoka serikalin wa kwenda kusomea degree ya MD ukiwa na diploma ya CO baada ya kuimaliza? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la moyo kudunda kwa nguvu sana

    Okay ahsante kwa ushauri wako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la moyo kudunda kwa nguvu sana

    Wakuu naomba kuuliza Mimi ni kijana mwenye miaka 18. Moyo wangu huwa unadunda kwa nguvu yani hata nikiwa nimeshika kitu mkono wa kushoto unatetemeka. Naomba ushauri vitu gani niache ili urudi katika hali yake ya kawaida na hili limesababishwa na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Clinical Officer (CO)

    Matokeo yangu ni: Phy - C Bio - B Chem - B Geo - C Kisw - C Math - A Eng - C Literature - D Dini - C Civ - C Na nina ndotoza kusomea CO kupitia college, halafu after CO nisomee tena MD. Je, inawezekana? Na je, chuo kipi cha serikali ni kizuri zaidi, na kwa hizi maksi zangu naweza pata nafasi...
  9. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Matokeo yangu ni:- PhyC BioB ChemB GeoC KiswC MathA EngC Literature D DiniC CivC. Na Nina ndot za kusomea CO kupitia college, af after Co nisomee Tena MD je inawezekana na je chuo kipi cha serikali ni kizuri zaidi, na he kwa hiz maks zangu naweza pata nafasi na ada INA range kweny sh ngap...
  10. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Ndio science(afya) bro Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Dah ahsante bro kwa ushauri wako mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Ety mbinu zipi za kumaster masomo ya PCB yaani kuondoka na 1 form six? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Dah kweli bana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Benibaya

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Eti jamani nauliza kwenda chuo (Afya) baada ya kuhitimu kidato cha nne na kuendelea na A-level kipi bora? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom