Habari JF,
Anahitajika Mdada mwenye Diploma au Certificate ya ACCOUNTANT kufanya kazi Dar es Salaam. Awe anauelewa mzuri wa Ms Excel na Outlook.
Mshahara ni Maelewano.
Nitumie CV kwa Email yangu.
Email: FurahiniConrad@gmail.com
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 20/11/2020
Habari JF,
Anahitajika Mdada mwenye Diploma au Certificate ya HR/PUBLIC ADMINISTRATION kufanya kazi Dar es salaam. Awe ana uelewa mzuri wa Ms Excel na Outlook.
Mshahara ni Maelewano.
Nitumie CV kwa Email yangu.
Email: FurahiniConrad@gmail.com
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 20/11/2020.
Ford Rangel XLT 2006
AC ya Kujaza
Diesel Manual
Location: Mbezi Beach
Simu: 0774819712
Gati imekaza
Bei 7ML inavunjika na IST au VITZ isiwe na kipengele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ford Rangel XLT 2006
AC ya Kujaza
Manual
Location Mbezi Beach
Simu: 0774819712
Gari imekaza
Bei 7ML inavunjika na IST au VITZ isiwe na kipengele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anahitajika haraka kijana fundi wa CCTV na mfumo wa alarm kuajiriwa. Asiwe na umri zaidi ya miaka 30.
Kituo cha kazi: Morogoro
Mshahara: Makubaliano
Mawasiliano: 0738 926 949
Yaani wala hata hunipi kazi kubwa kujua elimu yako na uelewa wako, kama umeshindwa kujua kama hospital zote za serikari na binafsi ziko chini ya wizara yake basi we bure bora unyongwe mpaka ufee.
Sina ugomvi na mtu yoyote katika hii hospitali ila ni kati ya hospitali zenye huduma mbovu sijawahi kuona majengo yanawasitiri sana.
Jana nilikwenda saa1 asubuhi kutibiwa baada ya kujisikia maumivu wakati najisaidia haja ndogo nikaona kwakuwa niko off leo siendi kazini wacha nikamuone Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.