Recent content by Ben Zen Tarot

  1. Ben Zen Tarot

    Wakazi wa Mbeya mjini wasipodhibitiwa watajenga hadi juu ya Kawetere, matokeo yake si mazuri baadae

    Dah! Nsalaga kulikuwa kijijini sana huko nakumbuka nilikuwa nikienda kumsalimia Bibi yangu maji tulikuwa tunachota kwenye mifereji
  2. Ben Zen Tarot

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Nimekuelewa mkuu, lakini kitu kingine naona inakula sana bundle nadhani kwasababu ya updates kuna mtu Aliniambia windows 7 haina updates
  3. Ben Zen Tarot

    Wanawake ni jeshi kubwa

    Unapoambiwa wanawake ni jeshi kubwa usihoji ni jeshi lipi, wewe elewa tu kuwa hawa watu ni jeshi kubwa na wakiamua kuvamia kambi hawatishwi na ukubwa wa adui. Wanapambana na majitu na wanawakalisha chini. Hakika Kipenda roho hula nyama mbichi. Ama Mwenyekiti naongopa?
  4. Ben Zen Tarot

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Computer yangu ina windows 10 nilipelekea fundi aniwekee window 7 akasema imeshindikana je Ni kweli inashindikana?
  5. Ben Zen Tarot

    Hivi inawezekanaje kijana miaka 28 bado yupo nyumbani

    Ukipenda ua penda na boga lake, mtoto kwa mzazi hakui.
  6. Ben Zen Tarot

    Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

    Hapo kwa mwendokasi naona sawa kwengine no comment
  7. Ben Zen Tarot

    Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    Ni mkoa wa pwani kabla hujafika chalinze kuna sehemu inaitwa vigwaza kuna mnada wa nyama ya mbuzi ukifika uliza njiapanda ya kwenda kwala kwenye bandari kavu utaelekezwa!
  8. Ben Zen Tarot

    Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    A Ayaa! ushampoteza tayari yaani uache kuitaja vigwaza ukaitaje mlandizi
  9. Ben Zen Tarot

    Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    Ni pale vigwaza kwenye mnada wa nyama ya mbuzi alafu kwa mbele kidogo baada ya sheli kuna njia panda ya kwenda bandari kavu inayoitwa kwala
  10. Ben Zen Tarot

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Sio tu kumwambia amlipie na Kodi ya mwaka mzima ampe na mtaji wa kufanyia biashara anayoitaka
  11. Ben Zen Tarot

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    In most cases, mtoto kwa mzazi hakui hii ina apply kwa mama na kwa baba mwenye sifa za ushua lakini sio kwa baba mwenye sifa za ubandidu kama mwenye uzi.
  12. Ben Zen Tarot

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Tafsiri ya mzazi ni baba lakini ili kumpa sifa yake kulingana na matendo yake kuna dingi alafu kuna mshua mwenye uzi ni dingi yaani mzee wa ovyo mwenye itikadi za kikoloni asiye jali zee bandidu yaani Hana hata chembe ya ushua! s
Back
Top Bottom