Recent content by Ben-star

  1. Ben-star

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Inakuaje hauoni kujinasibu kwao ni dhahiri kua walicho hawakifurahii.. haijalishi vitabu vyao vinasema nn kama mtu hataki inanzia ndani(kujikana ni kansa na inakula taratibu,hata ukipewa elimu haita tosha)
  2. Ben-star

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Jina lina value kwako ww unae litngaza.. sidhani kama kuna point ndogo on this b’coz niswala la nchi na si mtu binafsi. Ikikusumbu jiite Mtanganyika ukiwa nje itasaidia.
  3. Ben-star

    Tuungane kuokoa Mbususu

    Usihangaike kuongea nimaisha walio chagua,wana pretend not to feel anything lakini wanajua “hata mtt hapend kutumiwa,sembuse jitu zima lililo tumia hela za mzaziwake kwenda shule[emoji57][emoji57][emoji57]” Wakitoa fursa ni kuzitumia.. acha waimbe hakisawa huku wanashusha chupi We don’t feel...
  4. Ben-star

    Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

    Kwenye haya kunakua na kipindi cha mpito mpemda na usichoke kumweka karibu,wanaume tunamengi tunapitia tunapotoka kwenye nyumba zetu huwez jua Jaribu kuakaribu ukichunguza shida ni nn hasa.
  5. Ben-star

    Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

    Hii green card ndo yenyewe.. kwann nikusumbue wakati assist zipo.
  6. Ben-star

    Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

    Jamani acha ujinga hili swala nila afya ya mwili sio roho,mna weka mizunguko mingi kama unahitaji chnjo then chanja kama huitaji step back miasita stini na sita.. are all nonsense.
  7. Ben-star

    Mtume Mwamposa na jaribu la imani

    Umeanza kuongea pumba,embu acha wenye kitu cha kuongea waseme tuwasikilize “unataka ripoti gani wakati wametangaza sababu ni kukanyagana”
  8. Ben-star

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Achakusema vitu ambavyo havipo,ujinga wao ndio unao wafanya kushindwa kuelewa uhalisia wa mambo Mungu hampangii binadamu ndoa ndio maana kampa utashi wa kufanya maamuzi. Jambo linalo ongelewa hapa nikama elimu tuu ya kumsaidia mwanaume na mwanamke asije akafeli kwenye utashi aliopewa kwa yale...
  9. Ben-star

    Jamii imempora mwanamke nafasi yake

    Amini usiamini ni kwa maslai yao,kwani wanajua misingi yote ipo ndani ya familia na kama wakifanikiwa kuharibu huo msingi maadili hayatakuepo na watao athirika hapa ni watoto.
  10. Ben-star

    Jamii imempora mwanamke nafasi yake

    Kama kila mtu atasimama na kuitambua nafasi yake kwenye jamii hamna wazo wala fikra za utumwa kwenye ndoa hilijambo lazima watu walione.
  11. Ben-star

    Askofu Mwamakula: Rais Magufuli tunakuomba utoe kauli ya kumkaribisha nchini Tundu Lissu na rai ya kuwafutia kesi za uchochezi viongozi wa upinzani

    ...Ah! Is Tundu Issue ata fix mwenyewe haitaji kuombewa msamaha anajijua alipo simama.
Back
Top Bottom