Recent content by Ben Seth

  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Uozo ukiwa mwingi unafunika mazuri ndugu! Safi sana wasijisahau wajue wamepewa dhamana ya kuwatumikia wananchi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM urais 2015!

    Kwani ulitegemea Mbowe na Silaha watamsifia Lowasa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Asumpta Mshama aomba Dr. Kamala apewe 'mapesa mengi' ya ubalozi ili asikumbuke Ubunge

    Ni mbunge wa kuteuliwa ama wa kuchaguliwa! Nina mashaka na uwezo wake wa kufikiria
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    Busara itumike tu,je ukiambiwa ukatoe ushahidi kama ulimshikia mguu wakati anampa hiyo mimba utakuwa tayari??
  5. B

    JamiiForums Tanzania Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Audio nayo ilikuwa ya kutengenezwa? Tuwaachie wanasheria jmn
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Kama akili kingekuwa kiungo cha uzazi basi wengi wangekuwa matasa,Kwann wasingeenda polisi na defender au cruiser 1? Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma, hii inanikumbusha kesi ya Ponda alipopelekwa na helicopter morogoro! Nina imani sana na polisi lakini sio kwa hili
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Inasikitisha sana,R.I.P
Back
Top Bottom