Recent content by Ben branco

  1. Ben branco

    Ubongo, Akili au Hisia?

    Haya maswali magumu sana ujue,ukijiuliza sana unaweza kuona wewe halisi siyo wewe unayejijua
  2. Ben branco

    Kwa wanaotaka kuzaa mapacha

    Tafuta mti ambao juu yake umeota mti mwngine Ukiupata fanya yafuatayo Chukua mihogo 2 ambayo inapacha nenda nayo pale ktk ule mti ukifika umwagie maji yaliyo na unga wa mtama mweupe na maji hayo yawe yametekwa siku hiyohiyo Omba huo mti uku umeushika huo mti kwa mikono 2(omba unachohitaji}...
  3. Ben branco

    Kwa wenye matatizo ya kutoshika ujauzito

    Dawa hii ni nzuri sana kwa wasioshika ujauzito kwa sababu mbalimbali kama kutokubalance kwa hormone na matatizo mengine.... Pia dawa hii hii watumie watu ambao akishika ujauzito unatoka. Dawa hii usiitumie kwanza kama una UVIMBE TUMBONI AMA MIRIJA YAKO YA UZAZI IMEFUNGA(IMEZIBA) Nina maana...
  4. Ben branco

    Wachawi wanaweza kumgeuza mwanaume rijali akawa shoga fuatilia habari hii ya kweli

    Najua unaweza kushtuka baada ya kusoma kichwa cha habari,lakini huo ndiyo ukweli wa mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu wa giza,kuna mengi ya kutisha na kusikitisha yanafanyika ungana nami nikuelezee tukio nililolishuhudia katika kijiji cha Njungwa mkoani Morogoro ''ilikuwa ni siku ya pili...
  5. Ben branco

    Je unatambuaje kama umefungwa kichawi?

    TIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA. SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA. UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE...
  6. Ben branco

    Je unatambuaje kama umefungwa kichawi?

    kwa tunaoamini uchawi upo. Kumfunga mtu ni kitendo cha kumzuia mtu asifanye jambo fulani katika hali ya kawaida na alifanye kinyume na kawaida mfano mwanaume anaweza kumfunga mwanaume mwenzake asisimame uume wake kutokana na mwanaume huyo kutembea na mkewe na kuonywa bila kukataa au...
  7. Ben branco

    Kinyesi cha paka kina siri gani kitabibu au kwenye ulimwengu wa kiroho?

    kiukweli mkuu siwezi sema moja kwa moja kuwa walikuwa ni mapaka wa kawaida au laa sababu nitakuwa nabahatisha,ila ukipenda kujua zaidi utanitafuta private
  8. Ben branco

    Je, wewe unacheza michezo ya kubahatisha na unatamani kushinda kila mchezo?

    Kama utataka ushinde kila mchezo utakaocheza chukua moyo wa popo, ukaushe na uufunge kwenye kitambaa chekundu{hirizi}kisha jifunge hirizi hiyo kwenye Mkono wa kulia kwa kutumia uzi wa zulia jekundu na nenda huko mchezoni, ukianza kucheza utahisi mtu anakuelekeza vya kufanya fuata hiyo sauti bila...
  9. Ben branco

    Mti unaotumiwa na waganga feki kuwatapeli watu

    Naam wapendwa habari za asubuhi Leo nipo hapa kufichua siri zinazofanywa na wataalam feki kwa kutumia mti huo pichani mti huu kwa jina la ukaguruni niliambiwa unaitwa MFUDIKIZA....lakini kila sehemu kuna jina lake kutokana na lugha yao,angalia picha kwa makini utaujua kwani ni mmea maarufu tu...
  10. Ben branco

    Kinyesi cha paka kina siri gani kitabibu au kwenye ulimwengu wa kiroho?

    Mavi ya paka ni silaha nzito sana zaidi ya ak-47 huko uchawini,wachawi wengi huyatumia mavi ya paka katika kuingia ndani ya nyumba na hata kusababisha maafa makubwa kwa mkusudiwa wao. Mavi ya paka yanapochanganywa na miti ya hanjar na faijar na unga wa fuvu la kichwa cha mtoto...
  11. Ben branco

    Mti wa mbaazi unavyotumika kwenye uchawi na tiba ya maradhi

    ipo tafuta majina ya mabosi then ni pm nikupe maelekezo,lkn uwe tayari kufanya mambo kadhaa ya kichawi ili kufanikisha ndani ya siku 3 tu.
  12. Ben branco

    Mti wa mbaazi unavyotumika kwenye uchawi na tiba ya maradhi

    hapana mkuu,kuujua uchawi ni kweli binti
  13. Ben branco

    Mti wa mbaazi unavyotumika kwenye uchawi na tiba ya maradhi

    MBAAZI- Huu ni mti maarufu sana kwa watu wengi na hutumika kama mboga ama chakula hasa kwa watu wa pwani Pia kwa upande wa wa waganga,wanga,wachawi na baadhi ya majini na mashetani pia wanautumia mti huu kwenye mambo yao Mbaazi ndiyo mti pekee wenye mambo mengi kwenye utibabu wa asili na...
Back
Top Bottom