Mwaka 2015, niliwekeza mil 23 kwenye biashara ya dala dala. Ndani ya mwezi mmoja ikapata ajali mbaya ikawa skreppa. Nikawaza kama hizo pesa ningekuwa nimewekeza kwenye jagina si ningekua nimefaidi!
Mie mwenyewe nilitakiwa nipate tuzo ya uchumi ya Nobel kwa sera za fedha nilizozianzisha tangu mwaka 2016, ambazo zinatumika mpaka leo Duniani, lakini kwa kuwa ni muafrika, mweusi niliwekwa pembeni na yale niliyoyatunga, ingawa yanaendesha Dunia kwa mwaka wa kumi sasa, walisema yalitungwa na...
For contept of political authority...
Ameshindwa kufanya kazi aliyoagizwa na chama cha mapinduzi, wacha arudi kushika chaki.
Nafasi yake inahitaji mtu mpya atakaye weza ku align na maelekezo ya chama ambayo yanamtaka ahakikishe mtoto wa masikini anapata elimu ya juu pasi na vikwazo, bughdha wala...
I have so far asked Dr Jakaya Kikwete with a consent from the president kutengua uteuzi wa Profesa William Anangisye, for insurbodination to political authorities by refusing not to raise the costs of living for UDSM students.
Such insurbonination can not be torelated in the country.
Those years when I was a sales man, a chinese buyer asked me to collect 15,000 USD in cash. I refused. I asked him to wire transfer the money in fear of bandits like these.
Badala ya kumnyonga Lissu, ningemshauri Samia amteue kuwa mshauri wake wa masuala ya kisiasa ili apate platform ya kutoa mchango wake kwenye masuala ya kidemokrasia na usawa wa fursa kwa kila mtanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.