Ww kam unasema Ngeleja n mwizi....mm nakuomb uzijibu hoja nne zilzotolew hap juu kwanza...tuache kua vipaza saut lkn tuangalie uhalisia...kam kusoma huwez hat pcha huon...
Jamn sio kwamba mtu akishakua mbunge bas ana fedha zote anazotaka..yeye anachukua matatzo ya wananch na kuyawasilisha serikalini...yeye n kama daraja kati ya serikal na wananchi..hvyo akirnda serikalin na kusema kua sengerema hamna maj wakamwambia subiri tutashughulikia..zaid ya hap mnatak...
hap onaonyesha kua Ngeleja anatak kufanywa kam mbuz wa kafara il wngn na chama kpone...ila nina iman na ngeleja na anaweza kaz...n kiongoz anayefaa ndio maan hat hilo sakata la escrow alilipa kodi...Ngeleja pambana,.kila ktu knaugum wake...ila muda ndo utaamua
Taarifa iliyotolewa Jana na jarida la kimataifa la habari (International Journal), zinaonesha Ngeleja Willium ambaye ni kijana mwenye miaka 47 anaongoza kwa 32% kwenye mbio za uraisi upande wa vijana nchini Tanzania, anayemkaribia Ngeleja ni ndg Emmanuel Nchimbi aliyewah kuwa Waziri wa mambo ya...
NGELEJA ndiye kiongozi atakayeweza kututoa tanzania kutoka sehem moja had nyngn...legacy alizoacha katika wzara ya nishati na madini...ndiyo sababu inayonfanya mm niamn kua anaweza na anastahili.....Twende na Ngeleja 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.