Sizonje kapanga mabeki dhaifu maana hawajui kubana wao huachia tu,pesa za usajili anakula.Afu naskia juzi amemsitishia mkataba yule kiungo wake mahiri wa kuchezesha timu pale katikati[emoji40][emoji40] eti saivi anadai kashuka kiwango cha kukusanya kodi.Nikipata nauli nitakuja maana mtaani hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.