Recent content by Bei Rahisi Stationary

  1. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Wakikuliza amekwambia nani wajibu jirani yangu Neighbor.

    Sikupingi Neighbor.
  2. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Maisha hayampi mtu kila kitu kwa wakati mmoja

    Hii Thread ni 🔥 ila wabongo hawawezi kuja hapa ikili zao ni mambo ya siasa na Simba na yanga. Wakikuliza amekwambia nani wajibu jirani yangu Neighbor.
  3. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Wakikuliza amekwambia nani wajibu jirani yangu Neighbor.

    Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima. Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe. Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza . Dunia Haina huruma ,Wengi wanaoteseka kwenye Maisha wanatafuta Ukweli, Kipato Cha halali na...
  4. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

    Kwangu Mimi Iphone 17 Pro is better kwa sababu kwa upande wa Camera na features zinaenda na usasa. Nenda kisasa , Soko la Sasa linahitaji mtu anaejitoa akili na ufahamu .
  5. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Over expectations ndio sumu ya Gn'z

    Over expectations ndio sumu ya kisasa. Unajitarajia maisha yawe hivi, mtu akupende hivi, pesa ije hivi - ikitokea tofauti, mwili wako ndio unateseka. Stress, usingizi kupotea, presha. Mimi huwa naona hivi: Expectations zikizidi, furaha inapungua. Ukitaka 100 na ukapata 70, utalia. Lakini kama...
  6. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachanganya.

    Karibu sana
  7. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachanganya.

    Kabisa
  8. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachanganya.

    🙏
  9. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachanganya.

    🙏
  10. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachanganya.

    Wadau Stationary hizi Epson L 3210 na L 3250 Wengi wanachanganya wanapoenda kununua hudhania inakazi moja la hasha ni tofauti. L3220 InPrint Ina Scanny Ina toa Copy but Wire connectors Colored Tofauti na L3250 Hii ni Wireless inaweza ukakonect kwa devices (WIFI) kama simu, Computer,au...
  11. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Kila Mkoa ipo ila tu nyingine ni Siri mno sababu TISS hatibiwi hospital ya kawaida
  12. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Nimekupa kama elimu sababu uliuliza
  13. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Kwa sababu ya kifo ndo mana wametangaza,Ipo hivi TISS hatibiwi hospital ya kawaida sababu ya unyeti wa kazi yake ,kwa Zanzibar hutubiwa Tunguu mzena Mkoa wa kusini Unguja
Back
Top Bottom