Recent content by Bei rahisi Electronicks

  1. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mkopo wa CRDB

    Ni mtumishi
  2. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mkopo wa CRDB

    Shukran mkuu
  3. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mkopo wa CRDB

    Naomba ushauri kuhusu mkopo wa CRDB. Nimekuwa kazini kwa miaka 2, na sasa nafikiria kuchukua mkopo kupitia CRDB. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu: Je, baada ya kufanya kazi kwa miaka 2 ni wakati mzuri kuchukua mkopo? Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kabla ya kukopa? Je, ni bora...
  4. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania VIGEZO VYA KUPUTA CHETI CHA KUZALIWA

    ✅ VIGEZO VYA KUPATA CHETI CHA KUZALIWA 1-KADI YA CLINIC 2-PASPORT YA KUSAFIRIA 3-CHETI CHA DRS LA SABA 4-LIVING CERTIFICATE YA FORM FOUR 5-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA 6-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA AU CHA NIDA CHA MZAZI 7-TANGAZO LA UZAZI 8-CHETI CHA UBATIZO 9-BARUA YA UTAMBULISHO...
  5. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Passport

  6. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Uelewa juu ya Passport

    Njoo pm
  7. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Uelewa juu ya Passport

    Unaweza ukafanyia mpango sababu za kiusalama
  8. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Uelewa juu ya Passport

    Unataka kusafiri nje ya nchi? Pasipoti ni muhimu sana! 1. KWA NINI PASIPOTI NI MUHIMU? Kitambulisho rasmi cha kimataifa - Inakuthibitisha kuwa wewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuingia nchi nyingine - Bila pasipoti halali huwezi kusafiri nje ya Tanzania Fursa za kazi, masomo na...
  9. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wewe ratiba yako ipoje?

    Hahaha
  10. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wewe ratiba yako ipoje?

    Apana Mkuu nikujiamulia
  11. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wewe ratiba yako ipoje?

    Wakuu inakuwaje, Ratiba zenu zipoje. Mimi ya kwangu inaendana na kazi yangu, asubuhi tunaingia mazoezini baada ya hapo kumwagilia bustani pamoja na kulisha kuku. Nikitoka hapo najiandaa kuingia kazini jioni tena kulingana na kazi yangu naingia mazoezini. Baada ya hapo Kuna kazi online mpka...
  12. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    Safi Mkuu nitafanya ivyo
  13. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    Safi Mkuu nishaanza kufanya ivyo
  14. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    Shukran Mkuu nishaanza leo kufanyia kazi
Back
Top Bottom