Recent content by Behind_the_label

  1. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo HESLB Dirisha la marekebisho halina option ya kufanya marekebisho kwa walio kosea

    Wanafunzi wanasubiri,ili waliokosa mkopo wajue wanajipangaje majina yanatoka one week before opening date. Je,aliyekosa mkopo atawezaje kulipa hiyo ada na alijua mkopo ni mkombozi hata wazazi wanabaki njia panda.
  2. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo HESLB Dirisha la marekebisho halina option ya kufanya marekebisho kwa walio kosea

    Kwani Bodi ya mkopo lini wanatoa majina ya wanafunzi ili kuruhusu Appeal na muda wa wanafunzi kuripoti vyuoni umekaribia.
  3. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

    Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
  4. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania KERO Hakuna usalama kuacha salio kwenye simu

    Jamaa, hizi mambo inabidi zifike mwishon huu ni wizi wa wazi wazi, Hawa lazima tuwasalimie, wanaibia sana watu kwa kuwaambia wamejiunga na huduma Fulani wakati sio kweli, dunia hii ya utandawazi ujiunge kitu usichokijua? Vipi, wale watu wasioweza kupiga simu kuhoji salio lao wanaendelea kukatwa...
  5. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania KERO Mitandao ya Mawasiliano kukata pesa ya salio bila ridhaa wala taarifa

    Habarini wanajukwaa, Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo, jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati narudi mishe nikapitia kwa wakala nikaweka Salio, nafika nyumbani niunge salio naambiwa halitoshi...
  6. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Kuna Changamoto nyingine ya mfumo wa ku apply mkopo unadai arrangements ya DOD haijakaa sawa so haikupelek next step na cheti kimekua verified na Rita Sasa wao wanataka kikaaje au watu waedit vipi?
  7. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

    Nyanda za juu kusini mkuu
  8. Behind_the_label

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

    Habari, zenu wanajukwaa, Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana ya wanavyotaka wao leseni, mauzo sijui kwa miezi 6 nk. Nahitaji mkopo kupitia dhamana ya nyumba au...
Back
Top Bottom