Recent content by Beden

  1. Beden

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Kama hujapoteza mzigo Posta utakuja kupoteza ,au na wewe unafanya kazi Posta,unatetea wezi wenzio? watu tuna hasira kuibiwa kila mala halafu wewe unasema ni ujinga?
  2. Beden

    Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Ukitaka kuunganisha card yako nenda EQUITY BANK hata kama hauna akaunti hapo Watakufungulia na kukupa card the same day.
  3. Beden

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Nimekuuliza umri wa mtoto nikiwa na maana ya kwamba,Mama mzazi akiwa ananyonyesha hakuna mwanaume anayemtamani lakini mtoto akiachishwa halafu Mama akapata muda wa kupumzika,kama hana matatizo ki afya au ki uchumi anaanza kuvutia.kwa sababu hiyo kila anayekuona anakutamani ila ujue si kwamba...
  4. Beden

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Labda nikuulize mtoto wako ana umri gani?
  5. Beden

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    I see hawa jamaa wa posta Mungu anawaona , nilifikiri ni mimi tu.ukitaka mzigo wako ufike salama uwe na Tracking number na Tracking number ina ghalama zake kwani unakuwa una track mwenyewe mzigo umefika wapi.lakini mizigo ya free shipping labda kiwe kitu kidogo au hawakijui.Mimi kalibia kila...
  6. Beden

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kuna Hii smartphone inaitwa UMIDIGI Battery yake iko poa
  7. Beden

    Kuwa makini na utapeli huu wa mtandao

    Juzi tu nimetumiwa SMS kuwa nimeshinda £98000, kutoka cocacola ya England cha kushangaza SMS imetumwa kupitia namba ya Halotel,nikamuuliza eti hivi na england kuna Halotel yenye Country Code +255?sijaona jibu na namba hiyo hata ukipiga haipokelewi.
  8. Beden

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Mwenye software za Digisat 888 HD for Sport 24,tafadhali tuwasiliane
  9. Beden

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Mimi huwezi kunishawishi kuwa hawaibi,ninao ushahidi wa kutosha ingawaje hawaibi kila kitu,vingine wanakupigia simu
  10. Beden

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Mimi binafsi anuani ninayo na mizigo mingine mingi ninapata,sanasana namba ya simu ndo muhimu kwani Parcel yako ikifika wanakupigia simu.parcel nyingine unakuta wametoboa kuchungulia kilichomo wakikuta simu haisalimiki.
  11. Beden

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Nilishspoteza vitu vingi sana,bahati nzuri tu no kwamba wauzaji sana refund
Back
Top Bottom