Recent content by Beauty Eva

 1. Beauty Eva

  #COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

  Unasifia ujinga? Jinga kweli kweli wewe!
 2. Beauty Eva

  Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

  Ameshauri!! Wenye kumsikia, watamsikia.
 3. Beauty Eva

  Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

  Ndio matatizo ya kuishia darasa la 3C!! Kwani kuwa Rais wa TLS ndio kunampa fursa/mamlaka ya kubadili mfumo? Kama ungekuwa umeishia japo darasa la saba, ungeweza kuiona paragrafu iliyoandikwa kuwa, "Mwenye jukumu la kuweza kubadili mfumo huu ni serikali iliyopo madarakani kwa kutumia wataalamu...
 4. Beauty Eva

  Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

  Najaribu kutafakari logic ya hiki ulichokiandika, siioni kwa kweli. Inawezekana una jambo zuri ulitaka kuliwasilisha, ila limeishia kichwani kwako. Naamini katika wasomaji wote wa andiko lako, asilimia kubwa sana hawajakuelewa
 5. Beauty Eva

  Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

  Andiko hili fupi ni bora na lina ujumbe na funzo kubwa mno kuliko thesis nyingi za PhD candidates. Asante sana
 6. Beauty Eva

  Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

  Hana lolote! PhD holder anaulizia ngazi ya mshahara mitandaoni!!!!!!!!
 7. Beauty Eva

  Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

  Pumbavu..nyau mkubwa we! Baadhi ya watu wanapata PhD hovyo kabisa. Iwe ni ndugu yako au wewe mwenyewe ndiye unaeuliza na kumsingizia ndugu yako. Umashindwa kufanya utafiti na badala yake unakuja kuulizia hapa? Chefuuuu!!!
 8. Beauty Eva

  Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

  Katika kitabu chake "Maisha ya Mzee Rukhsa" ameiongelea habari hiyo na amemtaja Waziri huyo kuwa ni Marehemu Jackson Makweta
 9. Beauty Eva

  Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

  Si kweli. Katika kitabu chake "Maisha ya Mzee Rukhsa" ameiongelea habari hiyo na amemtaja Waziri huyo kuwa ni Marehemu Jackson Makweta
 10. Beauty Eva

  Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

  Katika kitabu chake "Maisha ya Mzee Rukhsa" ameiongelea habari hiyo na amemtaja Waziri huyo kuwa ni Marehemu Jackson Makweta
 11. Beauty Eva

  Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

  Katika kitabu chake "Maisha ya Mzee Rukhsa" ameiongelea habari hiyo na amemtaja Waziri huyo kuwa ni Marehemu Jackson Makweta
 12. Beauty Eva

  CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

  Ole Sabaya alikuwa ni Mwenyekiti au Katibu wa CCM?
 13. Beauty Eva

  CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

  Na kwa nini iwe Mtwara na isiwe Arusha? Acha ujinga..acha mawazo ya kibaguzi
 14. Beauty Eva

  Wapambana Rushwa wanapopewa wanaochunguzwa kuwaongoza

  Huna akili. Hivyo tu ndivyo ninavyoweza kusema.
Top Bottom