Recent content by Beatus david

  1. B

    JamiiForums Tanzania Band saw kubwa

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji fundi mwenye uwezo wa kutengeneza band saw kubwa ninasema kubwa maana yangu ni kua ile sehemu linapopita gogo panatakiwa pawe na urefu usiopungua futi 7 kutoka chini kwenda juu kwa anaeweza kutengeneza tuwasiliane kwa namba 0624 017300
  2. B

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kupata mitaji kwa wenye NGO

    Wekeni na wanaosaidia wajasiriamali. Wasindikaji mazao nk
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mashine za Mazulia (Carpet)

    Wewe wa Moshi nenda hapo viwanja vya hindu mandal hapo chini ya stand ya mabasi kuna maonyesho ya sido yanafanyika hapo kuna watu wako hapo wanaziuza maonyesho yanaisha kesho Ijumaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza nguo kutoka Uganda

    Kabla hajaenda kampala awatafute watu wanafanya hiyo biashara maana sasa hivi kwenye Mipaka TRA hawana mchezo Mie hua naenda Nairobi nimeona kwenye Mpaka wa Namanga jinsi Tra wanavyokagua Mizigo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Je za kuchagua grade one zinapatikana mitaa gani?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Miche ya Hybrid strawberry aina ya Chandarie inapatikana Arusha

    Wewe weka namba hadharani kwa nini unataka Biashara za Inbox au hiyo biashara ni haramu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wauzaji wa pipi -jumla

    Wale wataalamu wa pipi za jumla tujuzeni zinakopatikana na pia nashauri taarifa x Ziwekwe hala hadharani sio mambo ya pm hiyo ni biashara halali kwa nini mnataka kujifichaficha maana ukiweka hapa watafaifika wengi ila mkipeana pm utamnufaisha mmoja ina maana hata wewe muuzaji pia utakua umekosa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Pia mifuko ya kufungia inapatikana wapi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Baada ya kuitengeneza Inaweza kukaa siku ngapi bila kuharibika
  10. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Kuotesha miti ni moja ya masharti ya kupata hiyo leseni Serikali ina Akili kuliko Wewe usifikiri wanatoa tuu leseni
  11. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Na hivyo vibali vya mkaa hua vinatolewa kwa bei gani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Kwa Arusha sijajua soko la kuni likoje ila nitalifuatilia nione soko lake likoje
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda; Uuzaji wa bidhaa bila kuwa na pesa

    Hivi bado watu wanaimani kiasi hicho kwamba Mtu hakujui akutumie hela ukanunue mzigo ndio umpelekee
Back
Top Bottom