Habari, ulifanikiwa kwenda Uganda? Kuna baadhi ya vitu nahitaji kujuaNina mtaji wa milioni 1. Naomba ushauri kwa anaefahamu kuhusu soko la nguo Uganda. Ukusantaji na namna ya kuingia na kutoka nchini Uganda.
Kiukweli sijawahi enda nchi za nje.
Asante sana
Akikujibu nistue na mimi nimuulize kituHabari, ulifanikiwa kwenda Uganda? Kuna baadhi ya vitu nahitaji kujua
Kampala is bae mkuu,,,hali ya hewa nzuri,with right channels pesa ni mingi na nje nje,hakuna nightlife nzuri na starehe hapa east Africa kama Kampala,wanawake kule ni warembo na wana mizigo balaa na waganda wako so welcoming,,,its a place hutajuta kwenda,,,kaka mkubwa nyangi m.a hamu yangu nikutembelea hii nchi siku moja, maisha yakoje huko na kwa nn unamkataza mjasiri amali wetu asichukue chakula ya usiku na alale tu hotel za town?
Kampala is bae mkuu,,,hali ya hewa nzuri,with right channels pesa ni mingi na nje nje,hakuna nightlife nzuri na starehe hapa east Africa kama Kampala,wanawake kule ni warembo na wana mizigo balaa na waganda wako so welcoming,,,its a place hutajuta kwenda,,,
Nashauri ulale town kwani biashara,bank,stend vipo town.
Kule wizi ni wa hali ya juu na polisi wanapenda rushwa,,Malaya wengi ni wezi
Sawa mkuukaka nikiwa tayari kwa safari nitakutafuta.
mkuu uganda ni nchi nzuri sana kupumzisha akili weekend, kuna hali ya hewa nzuri sana, sehemu za kuhave fun ni nzuri sana, sema waganda wanaushamba kuliko wabongo. Kuna hotel inaitwa HBT iko kampala town ni nzuri kwa accomodation. Beach entebe ziko nzuri zaidi ni kama 1.5 hour drive. Ipo moja inaitwa water front ni beach ya kidon sana.kaka nikiwa tayari kwa safari nitakutafuta.