Natafuta pipi Za Happy pop. Z a kijiti kwa shape zinafanana na (big Bom)
Nipo Dar. Kwa bei ya jumla mwenye nazo tafadhali N pm pamoja na mawasiliano yako!
Angalia nimeambatanisha na mwonekano wa package zake hapa chini
Wale wataalamu wa pipi za jumla tujuzeni zinakopatikana na pia nashauri taarifa x
Ziwekwe hala hadharani sio mambo ya pm hiyo ni biashara halali kwa nini mnataka kujifichaficha maana ukiweka hapa watafaifika wengi ila mkipeana pm utamnufaisha mmoja ina maana hata wewe muuzaji pia utakua umekosa wateja wengi