Fursa ya Kupata mitaji kwa wenye NGO

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,293
8,847
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... kuna websites mbalimbali duniani zipo kwa ajiri ya kusaidia watu wenye uhitaji kupitia taasisi ambazo zipo kwa ajiri ya kusaidia na sio kutengeneza faida...

kikubwa zaidi ni taasisi hizo kuwa zimesajiriwa kisheria ktk nchi husika na kuwa na nyaraka zinazo onyesha usajili na uhalali wa shughuli hizo ktk sehemu husika...

kuna taasisi ina itwa www.globalgiving.org hii ina tumiwa sana na taasisi nyingi sana kwa ajiri ya kuchangisha pesa kwa ajiri ya miradi mbalimbali ktk nchi mbalimbali duniani.

hapa chini ni baadhi ya NGO zinazo fanya shghuli zake Nchini tanzania zina nufaika na huduma kutoka ktika hii taasisi ya www.globalgiving.org kama kuna zingine nyingi tafadhari una weza kushirikisha wadau hapa ili waweze kunufaika kupitia huduma hizi na jamii pia ipate fursa hii ya kusaidiwa...

waliosoma mambo ya miradi, technology, kilimo, social work, sociology nk. hii fursa ina wafaha tukiungana mkiungana watu wachache mnaweza jiajiri na kufanya shughuli zenu kwa uzuri nakusaidia jamii

wapo wanao fahami websites zingine zenye kutoa huduma hizi, tafadhari wekeni hapa ili na wengine wanufaike...

Search - GlobalGiving

Bees Saving Elephants in Tanzania

Empower People with Disabilities in Tanzania

Support Tanzania Earthquake Relief

Ensuring Safety for Children in Tanzania Schools

Crowdsourced Mapping to Prevent FGM in Tanzania

No FGM in Tanzania

Educate Children in Western Tanzania

APOPO HeroTREEs - Carbon offsetting in Tanzania

100 Renewable BIOGAS for Climate in Rural Tanzania

Donate to Support [HASHTAG]#EqualityinTanzania[/HASHTAG]
 
Sawa mkuu
kama una chanzo kingine una weza saidia wadau... wenye mawazo ya kufanya hizi miradi ili na wao waweze kufanikiwa hata huko mashuleni walipo... maana wakufunzi wengi huwa wanaiba sana mawazo ya wanafunzi wao huku wakiwapa ahadi na matumaini hewa
 
Safi
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... kuna websites mbalimbali duniani zipo kwa ajiri ya kusaidia watu wenye uhitaji kupitia taasisi ambazo zipo kwa ajiri ya kusaidia na sio kutengeneza faida...

kikubwa zaidi ni taasisi hizo kuwa zimesajiriwa kisheria ktk nchi husika na kuwa na nyaraka zinazo onyesha usajili na uhalali wa shughuli hizo ktk sehemu husika...

kuna taasisi ina itwa www.globalgiving.org hii ina tumiwa sana na taasisi nyingi sana kwa ajiri ya kuchangisha pesa kwa ajiri ya miradi mbalimbali ktk nchi mbalimbali duniani.

hapa chini ni baadhi ya NGO zinazo fanya shghuli zake Nchini tanzania zina nufaika na huduma kutoka ktika hii taasisi ya www.globalgiving.org kama kuna zingine nyingi tafadhari una weza kushirikisha wadau hapa ili waweze kunufaika kupitia huduma hizi na jamii pia ipate fursa hii ya kusaidiwa...

waliosoma mambo ya miradi, technology, kilimo, social work, sociology nk. hii fursa ina wafaha tukiungana mkiungana watu wachache mnaweza jiajiri na kufanya shughuli zenu kwa uzuri nakusaidia jamii

wapo wanao fahami websites zingine zenye kutoa huduma hizi, tafadhari wekeni hapa ili na wengine wanufaike...

Search - GlobalGiving

Bees Saving Elephants in Tanzania

Empower People with Disabilities in Tanzania

Support Tanzania Earthquake Relief

Ensuring Safety for Children in Tanzania Schools

Crowdsourced Mapping to Prevent FGM in Tanzania

No FGM in Tanzania

Educate Children in Western Tanzania

APOPO HeroTREEs - Carbon offsetting in Tanzania

100 Renewable BIOGAS for Climate in Rural Tanzania

Donate to Support [HASHTAG]#EqualityinTanzania[/HASHTAG]
 
Wekeni na wanaosaidia wajasiriamali. Wasindikaji mazao nk
wapo wadau wenye data ila wana zikalia sana... ngoja niangaike ntazipata na nitazileta na wao wanufaike pamoja na kuwa na umimi wao...

wapo wengine wana chukia pia ukiweka vitu hadhalani kwa kuwa wanaisi kutakuwa na ushindani ktk kupata fursa...
 
Back
Top Bottom