Hana mimba huyo bali anakupima imani siku ikiwa kweli utafanyaje!!but upande wa pili mmba haiwez onekana after 2days na kama anayo basi hiyo mimba siyo yako
Lazima uelewe hapo mwanzo watu katika majeshi walikuwa wanaingilia kadi ya chama cha ccm jeshini na sio sifa ya elimu NO!!!hivyo muelewe vizuri canal anapokwambia alijiunga na ccm from monoparty,baada ya mwinyi kuingia madarakan ndipo akaanza kuchukua STD VII na baadae form IV na mpaka sasa...
Wwe ndo hujui taratibu sasa nikueleze pamoja na ujinga wako!!ukiacha sheria na katiba na nini sijui;rais ana mamlaka ambayo amepewa kikatiba kufanya unayoyaona!tatizo watz wengi hatujui sheria na elimu imetupita kushoto!isome katiba,mamlaka ya rais halafu ndo uje unitolee povu lako;Ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.