Recent content by Be Honest

  1. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Hilo ndo jambo la msingi la kuangalia nani wa kuwekwa pale hawa waimba mipasho magazetini bora wangeingia bongo movie tu.
  2. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Ufisadi hauwezi kuisha hata iweje hata ishuke katiba kutoka mbinguni mapadri, wachungaji, mashehe wenyewe wanakuaga na kesi mbaya kama za kulawiti kutia mimba waumini nk ije kuwa mtu wa kawaida wanadamu tunalilia kitu kisichoweza kufanywa na hata wengi wetu pia. Hata vitu maalum viondeke...
  3. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Mmmh ufisadi hauwezi kuisha hata iweje hata ishuke katiba kutoka mbinguni mapadri, wachungaji, mashehe wenyewe wanakuaga na kesi mbaya kama za kulawiti kutia mimba waumini nk ije kuwa wanadamu tunalilia kitu kisichoweza kufanywa na hata wengi wetu pia.
  4. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Kuna ukweli wenye uongo mwingi sana inawezkana suala lilifika polisi lakini hakukamatwa na kwa taarifa za ndani kabisa hata iyo kesi haipo ila kuna bifu la mda mrefu sana la hawa wadada na kazi yao ni kulipuana tu kila anayepata fursa ya kumlipua mwenzake analipua tu japo Vicky kazidiwa ndo mana...
  5. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Ila viti maalum wapo wengi sana hata chadema wana viti maalum wengi tu akina Asha rose migilo ni viti maalum pia na hata Mbatia aliteuliwa au nae ndo nanilii??? Au ????...... suala la kuingiaje nadhani tuliweke pembeni. Tuje ishu ya Vicky kudakwa na polisi
  6. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Kweli lakini hawa wanabifu kazi yao kuharibiana tu na kuchafuana magazetini na mitandaoni..
  7. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Ila post za ndoa charity zipo kibao humu jamii forum.. hapa ni ishu ya kudakwa na polisi ndo mana
  8. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Kwani wachangiaji wengi wamesoma habari basi wamecomment kichwa cha habari tu..
  9. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Labda la kudakwa na polisi mkuu hilohilo liwe jepesi zaid ya unyoya..
  10. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Uko sahihi sana kwa madai ya magige hakujua aliyekua anamtukana akaripot polisi na uchunguzi wa polisi ndo ukabaini hilo.. kwa kujazia hawa bado ni vijana bado wanasafari mdefu kisiasa na huu sio muda wa kulumbama ni kupambana kwa maslahi ya wananchi ushauri wa bure najua upp utartibu wa bunge...
  11. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Honest will stand forever muda utafika everything will be open..
  12. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Mmmh yani apa balaa mara Amiri jeshi, mara Mbowe dubai, mara kagasheki, mara vitanda maalum mara siasa gani mara kusutana umbeya.. halafu kichwa cha habari Vicky kamata adakwa na polisi ukisoma habari inaonekana hajakamatwa ni upelelezi unaonyesha ni vicky akitumia namba iliyosajiliwa kwa jina...
  13. B

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    Mmmmh ila dada hapa ni ishu ya kudakwa na polisi ndoa haimo wamuonea tu post za ndoa yake zimejaa tele humu au ujaziona?? Yuko sawa hajakosea..
  14. B

    UKAWA na Warioba kubalini matokeo, tuipigie wote kura ya ndiyo. The End Justify The means

    Ulichosema kina ukweli pia lakini kama ni dhambi inafanywa kelele zao zimesaidia nini?? Je walitakiwa kufanya nini?? Mara ngapi tunaongozwa na dhambi?? Dhambi hizo hizo zitapitisha katiba hadi kwa wananchi na dhambi hizo hizo zitawarudisha madarakani?? Hata wakshika nchi ukawa bado itakua ni...
  15. B

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    Nimedhamiria mm nlikua mfuasi mkubwa wa ukawanila naona wazinguaji tu nao kila siku makelele wenzao wanafanya yao kule.. hayo makelele ya kuchakachua mngekuwepo pale mngedhibiti we unalinda mwizi uku nje ya nyumba wakati yeye yupo ndani ulikoweka mali zako unategemea nini?? Nilitaraji ukawa...
Back
Top Bottom