Recent content by bcsolution

  1. B

    Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Umesoma nilichoandika mimi hapo juu ? Fuata hayo utapona na hizo ni dawa za asili . Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. B

    Nimetema kitu kinanuka sana je ni nini??

    Usiache kupima na HIV mkuu. Usiogope. Bora ujue afya yako mapema na uwahi tiba kuliko ukachelewa na madhara yakawa makubwa sana. Hizo tonsil stones haziji kwa mtu ambae ana kinga za mwili vizuri. Ukiona zinakuja kwako manake kinga zako za mwili haziko sawa. Mimi sio daktari. Nenda kawaone...
  3. B

    Nimetema kitu kinanuka sana je ni nini??

    Tonsil stones hiyo. Google uione. Utakuwa una low immunity. Yaani kinga zako za mwili ziko chini. Itakuwa una maradhi yanakusumbua. Nakushauri nenda kamuone daktari na upime vipimo vya damu. Pole .
  4. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Taarifa imeanza kutolewa Tanesco bagamoyo na ikapewa namba 890 Wewe ukasema hiyo namba 890 inasema iko mlandizi ( hapo makosa ya nani ? ) Haya nikafatilia kumuuliza yule mama kama mlienda na yule mama akaniambia hamjafika, ( hapo kosa liko wapi ? ) Ndo mwisho nikalaumu. Lakini ulipotuma...
  5. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimewalaumu sababu niliongea na jana na kumuuliza kama mlifika, akaniambia hamjafika wala kumpigia. Sasa yule mama ni mzee inawezekana hajaona miss call . Na pengine hata hajui kucheki misscall. Sikuwalaumu bila sababu. Nilichukua maelezo ya mama ndio nikawalaumu. Shirika kuaumiwa ni...
  6. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiongozi mimi nimemsaidia tu huyo mama. Nimemuonea huruma mtu mzima na hajui mambo ya mitandao. Na nimemkuta analalamika kwamba hajui cha kufanya. Nimetoa msaada tu kwake. Nyie kama TANESCO mtafuteni namba nimewapa. Namba zangu za simu hata nikikupa hazitosaidia sababu sipo tena huko...
  7. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za Asubuhi. Naanza kukosa imani na haya majibu yako unayotujibu humu ya kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hao wataalamu uliosema jana wapo Eneo la Tukio wamekuwa GHOST hawaonekani kwa macho au ama. Yule mama nimeongea na Jana usiku anadai hakuna aliyempigia wala aliyefika pale, na...
  8. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hayo maswali mpigie umuulize. Nishakuambia ni mama mtu mzima. Na naomba nikuulize kama haishi mtu haistahili kuwa na umeme ? Lakini mpigie mwenyewe umuulize hayo maswali.
  9. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba nimeituma PM cheki. Nimeshindwa kuiweka wazi Hapa kwa kuepuka MATAPELI.
  10. B

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari wa Wahusika. Kuna Jirani kaniomba nimsaidie kulifikisha hili lalamiko lake kwenu. Anadai hili tatizo limetokea wiki sasa na akatoa ripoti Tanesco office Bagamoyo kwa namba hii 0682140405 na akapewa Namba ya Ripoti 890 na ikapita siku 2 ndio wakaja watu wa Emmergency na anadai walipofika...
  11. B

    Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Habari mkuu. Pole na mdogo wako kuumwa. Umenitumia Dm na kuniuliza kuhusu CASTOR OIL kama inafaa kweli kuhusu hizo GENITAL WARTS. Nimeona nikujibu hapa na sio DM ili iwe kwa manufaa ya wengine pia. Kwanza nikukumbushe tu kuumwa ugonjwa wowote sio AIBU kwa sababu . Na wahenga walisema MFICHA...
  12. B

    Je, Umewahi Kuvunjia Kichwa cha Plug kwenye Cylinder Head?

    Plug zingine ni fake. Mimi huwa nanunua plug pale palipokuwa ofisi za tigo zamani kabla kuhama ..pale kamata panaitwa GATHANI..karibia na kituo cha basi GOLDSTAR. wao wanauza original plugs. Na ni viuri uende na kadi yako ya gari huwa kuna namba za engine wanazichukua kwenye gari na kukupatia...
  13. B

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Kama upo Tanga shauriana na Daktari wako kuhusu hizi dawa..mimi sio daktari. Ila hizo dawa zilinisaidia kipindi flani nilikuwa mgongo unawasha. Profesa mgonda alinipa hizo dawa nimetumia tatizo limeisha sasa mda. Hiyo ndefu ni cream unapakaza na hilo boksi lingine vidonge unameza kwa siku...
  14. B

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Pole mkuu. Nenda Hospitali onana na specialist wa magonjwa ya ngozi. Sijajua uko wapi, kama uko DSM kaonane na Profesa Mgonda. Profesa Mgonda anapatikana Aga Khan nahisi pia yupo katika hospitali zingine ila sina uhakika na wapi. Aga khan kidogo ni gharama kumuona, kama utampata akiwa...
Back
Top Bottom