Recent content by bcp muungwana

  1. bcp muungwana

    Kazi ya nywele, kucha, kivuli, damu ya hedhi na nguo za ndani katika mambo ya uganga, uchawi na ushirikina!

    mmh ujeu sometimes naonaga bora nisiamini tu lakin wew ni nan hadi usiamin au mm ni nan hadi nisiamini kitu ambacho dunia nzima inaamini uchawi upo ....wazungu hao hao unaosema hawaamini ndo wanaongoza kuamini hizo nguvu za kichawi....kuhusu movies wao pia wanacheza movies za kichawi tena...
  2. bcp muungwana

    Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

    anhaaa haya mambo tusijifanye tunayajua sanaaa kwasabab hiz media ni kama kampuni zinaendeshwa kwa hisa mwenye hisa kubwa anakuwa host kwaiyo kikubwa labda tungejua nan anahisa kubwa kuwazid wenzake kwasabab tunamhusisha sana kusaga kwenye kila kitu kinachotrend labda kwasabab amejitokeza...
  3. bcp muungwana

    Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

    hahahahha eti evidence ni ile frequence root waliyotuma shilawadu instagram teh teh wabongo bhna we wape picha tu maelezo watajua wao
  4. bcp muungwana

    Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

    eti evidence inayoonyesha kwamba kusaga anamiliki wasafi media ni ile frequence root waliyoituma shilawadu instagram hahahahaha wabongo bana wape picha tu maelezo watajua wao
  5. bcp muungwana

  6. bcp muungwana

  7. bcp muungwana

    Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

    hahahaha sema madhumuni waliyoyapanga kwenye hiyo wasafi fstv yana tija sana ungekuwa unafwatilia ungeelewa nini wanamaanisha mapinduzi ya burudani...utoaji misaada kwa kidogo wanachopata na mengine mengi tutayaona itakapofanyika ...tusijaji kitu wakati bado hakijafanyika
  8. bcp muungwana

    Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

    ndio maana ya mapinduzi ya burudani...tumezoea kuwaona wasanii wanao hit tu ndo wanabebwa kupiga shoo ..watu wanasoma nyakati
Back
Top Bottom