Recent content by Bblackboy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Mzito sana kwenye scratching Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Madj wa mikoani wakali sana mzee kwa mfano kg the dj, dj timba, dj virus kuliko wapiga maembe flan wa jijini pia mwanza ni wakali kuliko wa dar Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Dea hatabiriki leo anapiga fresh kesho anaboronga. Kuna jamaa alikuwa kissfm mwanza anaitwa dj davy hakuwahi kuboronga hata siku moja akaja dj willy b naye noma Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Huyu chalii dj nelly d wa the click kiss fm anakuja kwa kasi ana mikato mikali sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Dj summer, dj zero wapiga maembe wazoefu hawawezi beatmatching. Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Kweli una sikio bro, davy yupo dar mkuu alikuwa na uwezo sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza tangu Mwezi wa 4 mwaka huu, hadi leo hola

    Komaa tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

    Pole sana. Amini uliyepangiwa bado muda wake
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

    Group O umenilenga kabisa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake weusi huwaga ni watamu sana, nini chanzo?

    Sinaga stim na madem weupe na madem weusi na nilishajaribu kujilazimisha ila ikashindikana mi na maji ya kunde tu. Ngoja waje wazoefu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sebastiani Ndege ni Jembe

    Jembe ni jembe ni kiwanja fulani kikali cha kulia bata jijini mwanza pamoja na jembe fm. Mmiliki ni yule sebastiani aliyekuwaga mtangazaji wa clouds fm
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kuchepuka, je za kwako ni zipi 2017?

    Kauli mbovu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

    Kenya ipo blessed sana upande wa burudani maana kuna djs wakali sana japo sio famous
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

    Tz mpaka sasa hakuna dj academy iliyowahi kutoa madj tishio ukilinganisha na kenya inayotoa madj tishio kama MTA/ogopa dj academy
Back
Top Bottom