Recent content by BBC DIRA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    Kiingereza iwe ya kufundishia kuanzia darasa la tatu hadi mwisho . Bitter truth. Unaanzaje kufundishia kiingereza Form 1 wkt hakielewi wala kukizungumza? Pili kwa nini walimu wengi wa primary ndo waliofeli Form 4? Kisha wararajia nini hasa shule uchwara za kata??
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    1. Sera ya lugha ya kufundishia 2. Sifa za walimu 3. Sera ya sayansi na ufundi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    Na ujiulize ni kwa nini serikali haitaki kushughulikia Vipengee hivi vitatu muhimu?? Kuna siri hapa. Aidha elimu ya bure na kujenga madarasa will never guarantee quality education.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kosa la CCM ni kunyamazisha upinzani kwa miaka mitano

    Pita Sengerema wilaya utayaona mengi kama haya. Nyumba inavuja ila utosini bendera ya CCM! Ujinga ni janga la Taifa ila mtaji kwa CCM!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kosa la CCM ni kunyamazisha upinzani kwa miaka mitano

    Ukweli mchungu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Prof mmoja aliwahi kuniambia, "Ogopa zaidi hapa dunia Watu wajinga, maana wakiwa wengi wanaweza kumchagua Rais"

    UJINGA ni janga kubwa kuliko CORONA tena hatari zaidi na wa kuogopwa! Tanganyika tuna kazi ngumu itakayotugharimu Karne zaidi ya mbili..
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    POOR Magufuli!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sijui kiingereza, nimlaumu nani?

    CCM ya baada ya Nyerere
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

    Kilchopo ni kwamba CCM hawatadanganya watu siku zote. Ipo siku.
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

    Lakini kuna kizazi kimeanza kujitathmini na kupevuka .
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

    Furaha ya ccm ni kuona mkulima akizidi kufilisika na maskini wakiwapeleka watoto wao kwa shule za Kata wapumbae zaidi. Nonsense.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ashangaa kukuta wanafunzi wanakaa chini Mkuranga, atoa wiki mbili madawati yapatikane!

    Haya yote Tundu anayasema wazwaz ila anaitwa mchochez! Shule hasa za kata ni matambara bovu ya CCM kuhakikisha kila kizazi kinabaki kijinga. Unafiki mtupu..
  13. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli hao wasaidizi wako huenda wanakudanganya. Hupendwi sana na Wananchi

    Waliouliwa chini ya uimla wake damu zao zinamlilia, usisahau waliokamatwa na kupotezwa kihuni!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli hao wasaidizi wako huenda wanakudanganya. Hupendwi sana na Wananchi

    Nadhani kama wana vichwa vya kusoma wamesikia
Back
Top Bottom