Mwanamke mmoja alimcheat mume wake. Mume akamkamata, tena kitandani na ni kwenye kitanda chake mwenyewe.
Alichokifanya huyo mwanaume alimwambia jamaa atoke halafu akamwambia huyo mwanamke nenda kaoge uvae twende Shopping leo. Akampeleka shopping baada ya hapo zikawa ni outing za kila siku...
Mwanaume ameoa mke wake. Wakagombana. Mke wake akamwambia. Na kwa taarifa yako hata hawa watoto sio wa kwako. Wana watoto sita. Mwanaume akaona hizi ni hasira tu.
Ila baada ya muda fulani hili jambo likamuingia moyoni. Likamsumbua sanaaa. Akaona inawezekana ni kweli, maana watu Huongea ukweli...
Maadui wa Tanzania ni ujinga. Umaskini, na maradhi; kama ilivyosemwa na hayati Mwalimu J.K. Nyerere.
Serikali wakati wote inafanya kila namna ili kupambana na hawa maadui watatu.
Elimu ni nguzo kuu, tena nguzo namba moja katika kupambana na hawa maadui watatu wa taifa la Tanzania. Ni wazi kuwa...
Mgaga wa kienyeji aliishi kanisani, alitumika kanisani.
Akajificha humo.
Sijui ni kitu gani alikuwa anakifikiria.
Sijui kwanini aliamua kutokukaa kwenye makazi yake kama mganga.
Na kwanini akimbilie kutumika kanisani?!
Alikuja kama muumini wa kawaida. Aliingia ibada imeshaanza akafika na kukaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.