Recent content by Batumunwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya English ya kuzungumza

    Ndio ufunguke bro nan mwingine Tena ambaye ni bora
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya English ya kuzungumza

    Naombeni msaada waungwana wa JamiiForum . Nina amini humu kuna watu wenye taarifa . Naomba msaada nahitaji kufahamu je mtu gani au taasisi gani inayo weza kutoa mafunzo ya kuzungumza lugha ya kiengereza kwa ufasaha zaidi tu . Pamoja na gharama zao na mahara wanapopatikana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Faida za Biashara viazi mviringo

    Yes . Mviringo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Faida za Biashara viazi mviringo

    Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu kuhusu Bet365

    Naombeni kufahamu kuwa nomesoma reviews nyingi Sana kwenye trustpilot na mitandao Kama Quora, YouTube wengi wanalalamika kuwa bet365 ni wezi na matapeli wanaofungia watu account. Je hili ni kweli au n uongo? Mwenye ufahamu na hili anisaidie
  6. B

    JamiiForums Tanzania Internet Service Provider

    Hello nahitaji msaada juu ya kumiliki biashara ya internet service provider.... "Kwetu kijijini Kuna uhitaji mkubwa Sana wa internet Je ? Nifanye ili niweze kufungua iyo biashara.. nahitaji njia za kupita wapi takuwa nina nunua data za kutosha ili kusupply kwa wateja wangu ...
Back
Top Bottom